Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, January 12, 2017

Msafara wa Lowassa wasimamishwa na wafanyabiashara ya ng'ombe Lusahunga Kagera.soma zaid


Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu
ya CHADEMA Mh. Edward Ngoyai Lowassa
akiwasalimia wakazi na wafanyabiashara wa
Ng'ombe katika mnada Lusaunga, Biharamulo
akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera ambapo
anakwenda kuendelea na ziara ya kichama katika
wilaya zote za mkoa huo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top