Mbunge wa kilombero mh.Peter Lijualikali( CHADEMA) ahukuwa kwenda jela miezi sita(6).soam zaid
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe. Peter
Lijualikali (CHADEMA) na dereva wake John
Bikasa wamehukumiwa kwenda jela miezi sita(6)
bila faini kwenye kesi ambayo walikuwa
wanatuhumiwa kufanya vurugu katika uchaguzi
wa kumtafuta mwenyekiti wa Halmashauri
mwaka 2015.chanzo julius matatiro(FB)
0 comments :
Post a Comment