Waziri mkuu ametoa agizo kuchunguza kushuka kiwango cha elimu mtwar.soma zaid
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumanne,
Januari 17, 2017) wakati akizungumza na
watumishi na wananchi wa mkoa wa Katavi
alipowasili Ikulu ndogo ya Mpanda kwa ajili ya
kufungua duka la dawa la Bohari Kuu ya Dawa
(MSD) katika hospitali ya Manispaa ya Mpanda.
Kwa mujibu wa matokeo hayo kati ya shule 10 za
sekondari zilizofanya vibaya kwenye mtihani huo,
tisa zinatoka katika Mkoa wa Mtwara na moja
Tanga. Shule za Mtwara zilizofanya vibaya ni
Chingungwe, Malocho, Naputa, Chanikanguo,
Mtiniko, Michiga, Msimbati, Salama na Lukodoka
huku ya Tanga ikiwa ni Nywelo.
0 comments :
Post a Comment