Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Tuesday, April 5, 2016
Kwa mara ya kwanza Rais maguful atanza ziara ya inje ya nchi hapo kesho.soma zaid.

Kwa mara ya kwanza Rais maguful atanza ziara ya inje ya nchi hapo kesho.soma zaid.

Tanzania President Dr. John Pombe
Joseph Magufuli will tomorrow, April 6,
visit Rwanda-his maiden regional visit.
KT Press has established that President
Magufuli, who has made global headlines
for his rapid leadership changes in the
East African nation, will be in Rwanda for
a two-day working visit.
The visit will begin with his official
opening of Rusumo one stop border post
connecting the two countries, before
holding a joint press conference with
President Paul Kagame.
On his 2nd day, Magufuli will join
Rwandans for the 22nd commemoration
of the genocide against Tutsi on
Thursday, April 7.
On the day when Rwandans mourn over 1
million Tutsi who perished during the
genocide, Presidents Magufuli and
Kagame along with the First Ladies, will
lay a wreath and lighting the memorial
flame.
Later on, they will join Rwandans in a
‘Walk To Remember’, before attending a
night vigil at Amahoro National Stadium in
the capital Kigali.
What does Magufuli’s presence mean to
Rwanda?
Tanzania is one of Rwanda major trade
partners and a close ally too. The port of
Dar-es-Salaam is crucial for Rwanda’s
trade routes, accounting for roughly 70%
of all Rwandan international maritime
trade. A healthy relationship must exist to
maintain this economic partnership.
For example, the port handles 60% of
Rwanda’s exports and imports, making it
a key port in terms of handling Rwandan
cargo.
Again, Rwanda regards Tanzania’s central
corridor, which combines road and
railway network, as an essential trade and
transport route linking it with
neighbouring Burundi, Uganda and the
eastern part of Democratic Republic of
Congo. This is a great assets for the two
countries.
Socially, many Rwandans, particularly
those where were boar there and others
lived there, have for so many years
regarded Tanzania as their second home.
President Kagame has expressed his
admiration for the new Tanzania
President, especially his immediate
stance on corruption.
On Novemer 5 last year, Kagame flew to
Tanzania’s capital Dar-Es-Saram to attend
the swearing in ceremony of President
Magufuli.
In just six months, President Magufuli has
been reluctant to travel both abroad and
inside Tanzania, since he was sworn in
as the President.
He has so far been in Dar-es-Salaam
Statehouse and only traveled to Arusha,
Mwanza, Morogoro and Geita regions.
He has been assigning his Prime Minister
Majaliwa Kasim to travel to other parts of
the country in a move to solve various
political and socio-economic problems.
His courtesy visit to Kigali sets a strong
and positive precedence and also rings a
resounding tone of cultivating a stronger
bilateral relationship.
SOURCE: KT PRESS

Ofsi ya DPP wembe ni ule ule kwa mafisadi wapokeaji na watoaji rushwa .soma zaid.

Ofsi ya DPP wembe ni ule ule kwa mafisadi wapokeaji na watoaji rushwa .soma zaid.

Mkurugenzi wa mashataka nchini (DPP)
Biswalo Mganga amesema ofisi yake haitasita na
iko mstari wa mbele katika kupambana na
vitendo vya rushwa na ufisadi licha ya kuwepo
kwa changamoto mbalimbali katika kukabiliana
na matukio hayo ambayo kwa kiasi kikubwa
yanahusisha vigogo wa ndani na nje ya nchi
ambao wamekuwa wakiendesha vita ya chini
kwa chini ili kujiepusha na mkono wa sheria.

Saturday, April 2, 2016
Hiki ndo alichokisema shekh ponda juu ya utawala wa maguful.soma zaid.

Hiki ndo alichokisema shekh ponda juu ya utawala wa maguful.soma zaid.

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa
Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania,
amekosoa utendaji wa Rais John
Magufuli, hasa dhana ya kutumbua
majipu, akisema ina kasoro za kiutawala.
Akizungumza leo, Sheikh Ponda amesema
utendaji wa Rais Magufuli ni wa
kulipualipua.
“Ni kweli kwenye serikali kulikuwa na
matatizo mengi, lakini lazima utaratibu
kamili wa kuchukulia watu hatua ufuatwe,”
amesema na kuongeza:
“Huwezi kuchukulia hatua watu bila kuwa
na ripoti ya kitaalamu. Huko ni kufanya
kazi kwa kulipuka.
Watanzania watafurahi zaidi kama serikali
haitaingia hasara kutokana na kazi hiyo
iliyo na shaka katika utekelezaji wake.”
Amesema ingekuwa bora kwa Rais
Magufuli kusubiri ripoti za wataalamu
wake, na si ‘kutumbua majipu’ kabla ya
kupata ripoti.
Anasisitiza, “Jambo hili halipo sawa hata
kidogo.”
Anasema dhamira ya kurejesha nidhamu
serikalini ni nzuri na inahitajika sana,
lakini namna ya utekelezaji wa dhamira
yake hakuuanza vizuri.
“Juzi Rais Magufuli amepokea ripoti
kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali. Angepaswa kuanza kuifanyia kazi
ripoti hiyo ili kuepuka madhara kama yale
ya kukamata meli ya uvuvi kwenye Pwani
ya Dar es Salaam mwishowe serikali
ikaingia gharama,” amesema Sheikh
Ponda.

Friday, April 1, 2016
Rais maguful akimnukuu mwl.nyerere juu ya misaada ya kwa nchi ya Tanzani na mashart yake.

Rais maguful akimnukuu mwl.nyerere juu ya misaada ya kwa nchi ya Tanzani na mashart yake.


Nukuu toka kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere
"Hatuna budi kujenga nchi hii kwa kujitegemea.
Hatuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya
Watanzania ya afya bora, maisha bora na elimu
nzuri lakini eti tunadhani tunaye mjomba huko
nje atakuja kutuletea maslahi hayo. Hatuna!."

Afariki dunia baaa ya kufungiwa chumbani kwake siku tatu.

Afariki dunia baaa ya kufungiwa chumbani kwake siku tatu.

Kijana mmoja aliyejulika kwa jina moja la
Emmanuel Mkazi wa Mwananyamala kwa Kopa
amefariki dunia na kufungiwa ndani ya chumba
chake kwa muda wa siku tatu na mama yake
mzazi jambo ambalo limesababisha taharuki kwa
majirani pamoja wa wakazi wanaoishi eneo hilo.
Kijana huyo alidaiwa kupotea siku kadhaa
zilizopita na kuja kuoneka akiwa amefariki na
kufungiwa ndani ya Chumba chake tukio ambalo
pia limeshangaza baadhi ya viongozi wa serikali
ya Mtaa wa eneo hilo Huku Mama mzazi wa
kijana huyo akikaata kuwa mwanae amefariki.
Like.chanzo radio one.

Marco jidendela mkazi wa simiyu atupwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 9.

Marco jidendela mkazi wa simiyu atupwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 9.

Mkazi wa kijiji cha Nyabubinza wilayani Maswa
mkoani Simiyu, Marco Jidendela (25) ametupwa
jela maisha baada ya kupatikana na hatia ya
kulawiti mtoto wa miaka 9.
Hukumu hiyo imetolewa jana na Hakimu Mkazi
wa Mahakama ya wilaya ya Maswa,Tumaini
Marwa baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa
na upande wa mashitaka.Awali ilidaiwa
mahakamani hapo na Mwendesha mashitaka,
Mkaguzi wa Polisi,Nassib Swedy kuwa
mshitakiwa alitenda kosa hilo Januari 8 mwaka
huu majira ya saa 4:30 asubuhi katika kijiji cha
Nyabubinza.Mwendesha mashitaka huyo alidai
kuwa siku ya tukio mshitakiwa alimshika kwa
nguvu mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 9
(jina linahifadhiwa) ambaye alimkuta akichunga
ng’ombe na kumweleza ya kuwa achague moja
amuue au amlawiti.
Kufuatia hali hiyo alitimiza adhima yake kwa
kumwingilia kinyume cha maumbile na
kumsababishia mtoto huyo michubuko na uvimbe
katika sehemu yake ya njia ya haja kubwa
kinyume na kifungu cha 154(1)(a) cha kanuni ya
adhabu sura ya 16.
Nassib aliiomba Mahakama itoe adhabu kali kwa
mshtakiwa ili liwe fundisho kwa watu wengine
wenye tabia kama hizo.

EWURA yatangaza kushusha bei za umeme.

EWURA yatangaza kushusha bei za umeme.

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na
Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme
kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango
tofauti.Kushuka huko kwa bei ya umeme ni
kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe
sambamba na hilo gharama za huduma kwa
baadhi ya wateja zimeondolewa.

Back To Top