Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Sunday, November 26, 2017
Mwanafunz yatima ajinyonga kisa amefari mtihani chuo.soma zaid

Mwanafunz yatima ajinyonga kisa amefari mtihani chuo.soma zaid

Dar es Salaam. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Imtu, Daniel Mabisi (28) anadaiwa kujinyonga kutokana na kufeli mitihani. Mabisi ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mgeninani, Kata ya Kijichi wilayani anadaiwa kukutwa amejinyonga jana saa saba mchana maeneo ya Mgeninani. Taarifa zilizopatikana zinadai siku mbili kabla ya kujinyonga, mwanafunzi huyo alionekana mtaani hapo baada ya kutoka chuo alikokuwa akisoma. Inaelezwa kuwa mwanafunzi huyo amefeli mara mbili mfululizo. Akizungumza kwa simu kutoka Morogoro, baba mdogo wa marehemu, Joseph Lukuba alisema amepokea kwa mshtuko taarifa za mtoto wake. “Nimepigiwa simu mchana huu nikaambiwa Daniel amejinyonga, nimeshtuka kwa sababu ni juzi tu tulimtumia nauli ili arudi nyumbani Mwanza baada ya kupata taarifa kuwa amefeli kwa mara nyingine,” alisema Lukuba. Alisema uamuzi aliouchukua unasikitisha kwa kuwa kufeli, isingekuwa sababu ya kushindwa maisha hadi kufikia uamuzi wa kujinyonga. “Kama familia tumehama na tuko mbali kikazi, tumemuomba jirani asimamie suala hili wakati taratibu za mazishi au kusafirisha mwili zikiendelea,” alisema. Akizungumzia tukio hilo, mwenyekiti wa Mtaa wa Mgeninani, Khuruka Mwinyimvua alisema baada ya kupata taarifa hizo alifika eneo la tukio na kukuta mwili ukiwa umening’inia juu ya mwembe. “Kijana huyo alionekana tangu juzi akizunguka mtaani hapa baada kurejea kutoka chuoni anakosoma, alionekana kama mtu asiyekuwa na furaha,” alisema Mwinyimvua na kuongeza: “Hadi sasa mwili umechukuliwa na polisi kwa taratibu nyingine.” Naye kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Emmanuel Lukula alithibitisha kupokea taarifa za kujinyonga kwa kijana huyo na kuwaagiza askari walio karibu na maeneo hayo kuchukua mwili huo.chsnzo mwananch
KILOSA: Mtu mmoja amefariki kwa kufukiwa na kifusi.soma zaid

KILOSA: Mtu mmoja amefariki kwa kufukiwa na kifusi.soma zaid

Mtu mmoja mkazi wa Kitongo cha Rose kata ya Magomeni wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyejulikana kwa Jina la Salum Omary (37) amefariki dunia papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga alipokuwa akijaribu kufanya shughuli za kuchimba mchanga katika shimo na kisha kufukiwa. Mwili wake umeokolewa na wananchi mara baada ya kupata tarifa za tukio hilo kwa watoto waliopita katika eneo hilo. 

Friday, November 24, 2017
MISRI:Takribani watu 155 wamefariki dunia baada ya Msikiti kushambuliwa kwa bomu huko Sinai.soma zaid

MISRI:Takribani watu 155 wamefariki dunia baada ya Msikiti kushambuliwa kwa bomu huko Sinai.soma zaid

MISRI: Takribani watu 155 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa kwenye shambulio la bomu na bunduki lilofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Kiislam kwenye msikiti wa al-Rawda uliopo mji wa Bir al-Abed wakati wa swala ya Ijumaa ======= Egyptian state news agency says death toll in Sinai mosque attack rises to 115, with 120 injured. ======= Suspected militants have launched a bomb and gun attack on a mosque in Egypt's North Sinai province, killing 85 people, the state news agency says. Witnesses told Egyptian media it happened in the town of Bir al-Abed near al-Arish during Friday prayers. Local police said men in four off-road vehicles opened fire on worshippers, AP reported. Egypt has been fighting an Islamist insurgency in the region, which has intensified since 2013. Some 80 people were also wounded in the attack, health officials said. One report said the target appeared to be supporters of the security forces who were praying at the mosque. President Abdul Fattah al-Sisi is to meet security officials to discuss the incident, Egypt's private Extra News TV reported. It is not yet known who was behind Friday's attack. Jihadist militants have been waging an insurgency in recent years, stepping up attacks after Egypt's military overthrew Islamist President Mohammed Morsi in July 2013. Hundreds of police, soldiers and civilians have been killed since then, mostly in attacks carried out by Sinai Province group, which is affiliated to so-called Islamic State (IS). Source: BBC

Friday, November 17, 2017
kwenye saluni nyingi za wanawake,mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na  hasa kuhusu mapenzi na kipato,kashfa na saikologia zisizo rasimi kuhusu ndoa na mahusiano, je nikweli?

kwenye saluni nyingi za wanawake,mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na hasa kuhusu mapenzi na kipato,kashfa na saikologia zisizo rasimi kuhusu ndoa na mahusiano, je nikweli?

Kwenye Saluni nyingi za wanawake, mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na hasa kuhusu mapenzi na kipato, kashfa na saikolojia zisizo rasmi kuhusu ndoa na uhusiano. Kuna mazungumzao ya kukatishana tamaa na kuumizana zaidi, kwa sababu kila mmoja anajaribu kuonyesha kwamba ana nafuu fulani. Lakini mbaya zaidi ni kwamba, saluni za wanawake hutumiwa na wanawake hao kama maeneo ya kusemea hisia zao chungu na kutoa jumuisho kuhusu wanaume na uhusiano. Huko saluni hakuna wataalamu, bali kuna wazungumzaji ambao wanaamini wao ni wataalamu, na wengine kwa sababu ya kuzidiwa na mzigo wa matatizo hasa ya uhusiano na pengine ya kipato, huwaaamini hao wataalamu wasio rasmi. Huko saluni ndiko ambako wanawake wanaambiana`kwamba, mwanaume akiacha kufanya tendo la ndoa kwa wiki moja na mpenzi wake, ni lazima mwanaume huyo atakuwa na ‘nyumba ndogo.’ Ndiko ambako wanafundishana kwamba, ukipata Mganga wa nguvu unaweza kumshika mwanaume. Ndiko huko ambako hutajwa orodha ya wanawake ambao wamewashika waume zao kupitia kwa waganga. Ndiko huko ambako majina ya waganga maarufu hutajwa. Lakini ndiko huko saluni ambako, wanawake hutaja orodha ya wanawake wenzao waliopata mali kupitia ‘mabuzi,’ ambao huwapa mitaji ya biashara inayowawezesha kusafiri hadi Uchina. Pia hutajwa majina ya wanaume wanaohonga sana. Ni saluni ambako wataalamu wasio rasmi hutoa suluhu ya matatizo ya ndoa. Ndiko ambako wataalamu hao huwaambia wanawake wenzao kwamba, ukimuonyesha mwanaume kwamba unampenda sana, atakudharau na kukuacha. Kwa hiyo mwanamke akitoka saluni anakuwa ametoka shule anayoiamini . ambapo huacha kumwonesha mumewe kwamba, anampenda. Ni wazi shule hii ya saluni haijui kwamba, unapoonesha kutokupenda, nawe utaoneshwa kutokupendwa. Kwani unachopanda ndicho unachovuna. Wakati mwingine shule hii inajua jambo hilo, isipokuwa inataka waliopotea na kuharibikiwa wawe wengi. ⬅⬅⬅⬅⬅ Ni huko saluni ambako utasikia wanawake wakifundishana namna ya kuwadanganya wanaume zao. Hufundishana namna ya kujenga nyumba bila kunaswa na mume, kwani wanaume hawaaminiki, huwezi kuacha kujiandaa. Lakini shule hii haijui kuwa, hiyo ni sumu kubwa kuliko sumu nyingine kwenye ndoa, kutafuta mali na kujenga msingi wa kipato kwa siri. ⁉⁉⁉⁉⁉⁉ Ni hukohuko saluni ambako wanawake huambiana uongo kuhusu wakwe, watoto wa kambo, na mawifi. Hufundishana kwamba, kumpenda mama mkwe au wifi ama mtoto wa kambo ni kutafuta muhali. Haiishia hapo huendelea kufundishana hata namna ya kuwachukia watu hao. Mwanaume, kama ukiona mwenzi wako anakwenda saluni na akitoka huko amekuwa mtu mwingine kabisa, unapaswa kujua kwamba, huenda amepata ‘dozi’ ya wataalamu hao. Wanawake, nawashauri jihadharini sana na maneno ya saluni. Kwani katika kila maneno mia moja, ni moja tu linalokaribia ukweli. Kumbuka, linalokaribia ukweli . siyo kuwa ni la kweli……

Wednesday, November 15, 2017
Rais magufuli ameagiza kubomolewa kwa makao makiu ya TANESCO na wizara ya Maji.soma zaid

Rais magufuli ameagiza kubomolewa kwa makao makiu ya TANESCO na wizara ya Maji.soma zaid

Rais Magufuli leo atembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu za Ubungo unajulikana kaka ‘Ubungo Interchange’.  Aidha meagiza kuwa jengo la makao makuu ya Shirika la la Uzalishaji na Ugavi wa Umeme nchini TANESCO lililopo eneo hilo pamoja na jengo la wizara ya maji ambalo liko mkabala na jengo la TANESCO, yawekwe alama ya ‘X’ ili yabomolewe kupisha mradi huo.

Tuesday, November 14, 2017
SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa,dini'biashara ndani ya basi.soma zaid

SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa,dini'biashara ndani ya basi.soma zaid

Usimamizi wausafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) imepiga marufuku abiria kuzungumza masuala ya siasa, dini na kufanya biashara wawapo safarini. Agizo hilo limetangazwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA, Lingadi Ngewe na kwamba abiria atakayebainika kufanya vitendo hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. Agizo hilo linakuja baada ya hivi karibuni kudaiwa kuwapo kwa mvutano wa kupinga kanuni mpya kati ya Sumatra na chama cha wamiliki mabasi yaendayo mikoani (TABOA) na wa usafiri Dar es Salaam (UWAMADAR). Bila kutaja ni sheria na kanuni ipi, Mkurugenzi huyo amesema ufanyaji wa vitendo hivyo katika mabasi ni kinyume na kanuni za usafirishaji. "Tutaanza kuzuia wasafiri wa wapo ndani ya mabasi kuacha kuzungumza masuala ya siasa, dini na kufanya biashara. Tukibaini hilo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa abiria na dereva ikibidi," amesema na kuongeza ‘Kwa madereva hasa wa kwenda mikoani, njiani wanapandisha wafanyabiashara na kufanya biashara ndani ya basi, hatua kali zitachukuliwa kwa dereva na huyo anayefanya biashara.’ chanzo jamii forums

Thursday, November 9, 2017
Wakili feki adakwa Dar.soma zaid

Wakili feki adakwa Dar.soma zaid

DAR: Wakili feki aliyetambulika kwa majina ya Bw. Jeremiah Ragita amekamatwa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. >Yadaiwa amebainika baada ya kusalimia Jaji "Shikamoo"  ​ ===== Pichani hapo juu ni Bw. Jeremiah Ragita aliyejifanya kuwa Wakili akitokea Kampuni ya Sheria ya Faithful Attorney Advocates kwa mujibu wa Naibu Msajili, Mahakama ya Ardhi, Mhe. Frank Mahimbali anasema Wakili huyo feki alikamatwa mapema Novemba 08 katika Mahakama hiyo akimsimamia Mleta maombi Nunu Mhusin Mkwata. Mhe. Mahimbali anasema kuwa upande wa pili ambao unasimamiwa na Wakili Maros Gabriel kutoka Kampuni ya Sheria ya 'Common Law Chambers' ulimtilia shaka Bw. Jeremiah Ragita kama kweli ni Wakili ndipo alipofanya upekuzi kwenye Ofisi ya TLS na kuambiwa kuwa hawana jina hilo. Hata hivyo Mhe. Mahimbali alienda mbali na kumuandikia barua Msajili wa Mahakama Kuu (RHC) na kujibiwa kuwa hakuna Wakili aliyesajiliwa kwa jina hilo. Kwa mujibu wa Naibu Msajili kesi hiyo ilipoitwa mbele ya Mhe. Jaji Crencesia Makuru, Wakili Maros alimueleza Mhe. Jaji kuwa mwenzake wa upande wa pili sio Wakili na kisha akatoa vielelezo kutoka katika Ofisi ya Msajili Mahakama Kuu na Ofisi ya TLS ndipo Bw. Ragita akakiri kuwa yeye si Wakili. Hata hivyo Bw. Ragita alikamatwa na kupelekwa Polisi Kituo cha Kati (Central Police) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hatua stahiki za kisheria. Mahakama inapinga vikali vitendo vya ulaghai (Mawakili feki, vishoka) vinavyofanywa na baadhi ya Wananchi kwa lengo la kujipatia kipato. - Mtazamo News
Tuesday, November 7, 2017
Samatta nje wiki sita(6), aumia goti.soma zaid

Samatta nje wiki sita(6), aumia goti.soma zaid

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ anayekipiga na KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atakuwa nje ya uwanja kwa majuma sita akiuguza majera ya goti aliyopata katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa sare tasa dhidi ya Lokeren. Samatta alishindwa kuendelea na mchezo baada kuumia dakika ya 40 nafasi yake ikachukuliwa na Nikos Karelis aliyerejea hivi karibuni baada ya kukaa nje kwa muda mrefu pia kutokana na majeraha. Ripoti ya daktari iliyotokana na majibu ya vipimo alivyofanyiwa straika huyo jana inasema amepata jeraha dogo katika misuli ya goti inayofahamika kitaalamu kama ‘Literal Ligament’ huku pia maungio ya mfupa wa paja na wa ugoko (meniscus) yakionekana kuathirika pia. “Literal ligament imechanika kidogo, hiyo itapona yenyewe lakini pia wamegundua tatizo kwenye meniscus ambalo inabidi lifanyiwe upasuaji mdogo ili lisije kuleta shida hapo baadae,” alisema Samatta Upasuaji huo mdogo utamlazimisha Samatta kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita akipata tiba na mazoezi huku timu yake ikiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Ubelgiji baada ya kukusanya pointi 19 pekee.

JAFO:.Taarifa za watumichi walioajiliwa 2058 imekamilika

JAFO:.Taarifa za watumichi walioajiliwa 2058 imekamilika

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) amesema jumla ya watumishi wa Sekta ya Afya wapatao 2058 wamekwisha pangiwa vituo vya kazi kuanzia leo 06/11/2017 na taarifa zote zinapatikana kwenye mtandao wa Ofisi ya Rais TAMISEMI. “Taarifa ya watumishi 2058 imekamilika na itarushwa kwenye mtandao wa OR TAMISEMI leo tarehe 6/11/2017 jioni, hivyo Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wanatakiwa kujiandaa kuwapokea watumishi hao ikiwemo kuwapatia stahiki zao” Amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waajiri kuhakikisha wanachukua taarifa za watumishi walioripoti na kuwaingiza kwenye Mfumo wa Mishahara na kuwapangia katika maeneo ambayo ya uhitaji mkubwa ili kuboresha huduma za afya nchini. Pia ameekeza watumishi wanaopangiwa vituo, kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya siku 14 tangu tangazo hili kutolewa. Aidha, Waajiri wote watoe taarifa juu ya kuripoti kwa watumishio haa wapya na vituo walivyopangiwa siku 14 baada ya kuripoti kwao. Taarifa za Watumishi hao na Vituo vyao vya kazi, inapatikana katika Mtandao wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI. chanzo michuzi blog

Monday, November 6, 2017
Breaking News. wakurugenzi wawili watumbuliwa jioni hii.soma zaid

Breaking News. wakurugenzi wawili watumbuliwa jioni hii.soma zaid

Tuesday, October 31, 2017
Mwanafunzi akamatwa akimfanyia mtihani fomu four ndugu yake.

Mwanafunzi akamatwa akimfanyia mtihani fomu four ndugu yake.

Jeshi la polisi mkoani kagera linamshikilia Ashraf Amin Kaitaba mwanafunzi wa kidato cha tatu anayesoma katika shule ya sekondari ya Bukoba iliyoko mkoani humo aliyekamatwa jana na maofisa wa jeshi hilo wakati akijaribu kufanya jitihada za kuingia kwenye chumba cha mtihani kilichondaliwa katika Chuo cha walimu cha Nshambya kwa ajili ya kituo cha watahiniwa binafsi wanaofanya mtihani wa kidato cha nne unaoendelea sasa aliyekuwa na lengo la kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia kaka yake mtihani huo ambaye ni miongoni mwa watainiwa binafsi. Akizungumza juu ya tukio hilo mbele ya waandishi wa habari akiwa ofisini kwake,Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Kamishina Mwandamizi, Augustine Ullomi amesema mwanafunzi huyo alikuwa na nia ya kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia mtihani kaka yake aliyemtaja kwa jina la Amir Amin Kaitaba ambaye amesema naye anashikiliwa na jeshi hilo. Kufuatia tukio hilo Kamanda Ullomi amesema jeshi hilo litahakikisha mitihani ya kidato cha nne inayoendelea sasa inafanyika kulingana na kanuni na taratibu zilizopo na ametoa onyo kwa walimu, wazazi na wanafunzi watakaojihusha na vitendo vya udanganyifu wakati wa zoezi la kufanya mitihani hiyo. Chanzo: ITV

Friday, October 6, 2017
Mahakama imemuachia huru Yusuph Manji .soma zaid

Mahakama imemuachia huru Yusuph Manji .soma zaid

Mahakama ya Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi mfawidhi Mh.Cyprian Mkeha. Leo hukumu ya kesi ya matumizi ya Dawa za kulevya dhidi ya Mfanyabiashara Yusuf Manji itasomwa. Nitawajuza baada ya hakimu kumaliza... UPDATES: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 6 mwezi wa 10, 2017 imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi ya mshtakiwa. Sababu kuu ni kuwa mtuhumiwa alikuwa na bado anatumia dawa mbalimbali kwa matibabu yake kulingana na maagizo ya daktari na dawa hizo zina elements za morphine ambayo pia inaweza kukutwa kwenye heroin kwahiyo maabara ya Mkemia Mkuu ingeenda mbele zaidi kujua morphine iliyokutwa kwa mtuhumiwa imetokana na nini. Hilo ndio limesababisha Manji kuachiwa HURU.

Thursday, October 5, 2017
Kimbunga chaua watu 20 nchi za Costa Rica.soma zaid

Kimbunga chaua watu 20 nchi za Costa Rica.soma zaid

Kimbunga cha Kitropiki kiitwacho Nate kimeua takribani watu 20 katika nchi za Costa Rica, Nicaragua na Honduras. Hali ya hatari imetangazwa katika nchi hizo za America ya kati ambapo watu zaidi ya 20 hawajulikani walipo. Nchini Costa Rica takribani watu 400,000 hawana maji na maelfu wanalala kwenye maeneo maalum ya msaada. Utabiri unasema kimbunga Nate kitapata nguvu zaidi na kuwa kimbunga daraja la 1 na kisha kwenda kumalizikia kwenye pwani ya kusini ya Marekani. ======== Tropical Storm Nate has killed at least 20 people in Costa Rica, Nicaragua and Honduras before it moves north towards the US. A state of emergency has been declared in the Central American nations, where more than 20 people are missing. It has caused heavy rains, landslides and floods which are blocking roads, destroying bridges and damaging houses. In Costa Rica, nearly 400,000 people are without running water and thousands are sleeping in shelters. At least six people have died in the storm there, while another 11 were killed when it moved north and reached Nicaragua. Three people have been killed in Honduras and several are reported missing. In Costa Rica, all train journeys were suspended and dozens of flights cancelled on Thursday. More than a dozen national parks popular with tourists have been closed as a precaution. The storm also caused extensive damage to infrastructure in Nicaragua. Forecasters say Nate will gain strength and become a category 1 hurricane before it makes landfall on the southern coast of the United States on Sunday. Oil companies operating in the Gulf of Mexico says they are evacuating staff from platforms which lie along the predicted path of the storm

Askali Polisi akamatwa kwa tuhuma za mauaji.soma.zaid

Askali Polisi akamatwa kwa tuhuma za mauaji.soma.zaid

Jeshi la polisi wilayani Uvinza mkoani Kigoma, linamshikilia askari mmoja kati ya wawili, kwa tuhuma za kumuua kwa risasi kijana mmoja Hamis Wales mkazi wa kijiji cha Mpeta kata ya mngaza wilayani humo. Tukio hilo lilitokea polisi walipoenda nyumbani kumkamata kijana huyo baada kutokea ugomvi kati yake na mke wake, uliosababishwa na kijana huyo kuoa mke wa pili Mashuhuda wakielezea tukio hilo wanasema askari walienda kumkamata na kumuongoza kwenye pikipiki aliyokuwa amepaki kisha kupiga hatua na kumpiga risasi kisha kutupa silaha na kukimbia Ndugu wa marehemu wametoa kauli hawapo tayari kupokea mwili na kuuzika licha ya polisi waliwasihi kufanya hivyo  Chanzo: Azam Tv

Wednesday, October 4, 2017
Watu 9 wamefari na wengine kulazwa baada ya kunywa gongo Kimara Dar es salaam.sa zaid

Watu 9 wamefari na wengine kulazwa baada ya kunywa gongo Kimara Dar es salaam.sa zaid

Watu 9 wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakilazwa hospitalini baada ya kunywa pombe haramu aina ya gongo.  Taarifa zaidi.. Inadaiwa kuwa wanywaji hao kuanzia siku ya jana walianza kufariki mmoja mmoja kwa nyakati na mazingira tofauti. Aidha, inaelezwa kuwa huenda kinywaji hicho kilikuwa na hitilafu katika uandaaji au ni kuzidisha kipimo na inahofiwa kuwa idadi ya vifo inaweza ikaongezeka. Naendelea kufuatilia, nitawajuza taarifa rasmi zikipatikana.chanzo jamii forums

Tuesday, October 3, 2017
Chui kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa mda usiojulikana kufuatia vurugu za wanafunzi.soma zaid

Chui kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa mda usiojulikana kufuatia vurugu za wanafunzi.soma zaid

chuo Kikuu Nairobi kimefungwa kwa muda usio na kipimo kufuatia vurugu za wanafunzi Wanafunzi walifunga barabara wakipinga uvamizi na kupigwa na polisi, baraza la chuo liliagiza kufungwa mara moja kwa chuo hicho kufuatia hali ya usalama kuzorota Wanafunzi walikuwa wnahimiza Profesa Mbiti ajiuzulu kwa kuwaita polisi kwenye hosteli zao kuwapiga ==================== UON senate has today closed the University with immediate effect due to the deteriorating security situation. Students have been asked to vacate the halls of residence with immediate effect but not later than 9.00am,” read a tweet from the institution. The students had on Monday night gone on the rampage as they protested the invasion and assault by police last week. At least 27 students were Thursday injured when police invaded lecture halls and hostels and clobbered them to quell riots that were ongoing. Monday night, the students blocked sections of Mamlaka Road and State House Road before police arrived to disperse them, firing gunshots into the air. They burnt down security offices there saying the officials had failed to stop the police invasion and blocked a fire engine from reaching the site. The fire engine crew demanded to get armed escort to access the site in vain. More protests were Tuesday morning reported along Lower Kabete Road. Some students closed roads near there forcing motorists to seek alternative routes. They were demanding the removal or resignation of Vice Chancellor Prof Peter Mbithi saying he is was the one who allowed and invited the police to invade the institution classes and halls to assault and steal from them. They chanted, "Mbithi must go! Mbithi must go!" Most unrest happened at the main campus. This was after the institution had addressed a press conference to justify the police action. The incident is being investigated. There was tension at the institutions with plans of more protests on Tuesday before the closure was announced. Anti-riot police were put on standby. The standard Media

Monday, October 2, 2017
Wabunge Lema na Nassari watua Takukuru kutoa ushahidi.soma zaid

Wabunge Lema na Nassari watua Takukuru kutoa ushahidi.soma zaid

Wabunge wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa(Iringa Mjini) wamewasilisha Takukuru ushahidi wanaodai unaonyesha wa jinsi madiwani wao walivyonunuliwa kwa kupewa rushwa. Wabunge wao, wamewasilisha ushahidi huo mchana wa leo Jumatatu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Takukuru zilizopo Upanga Dar es Salaam. Wabunge hao wamewasili katika ofisi hizo saa 8.39 mchana na kukutana na waandishi wa habari waliokuwa wakiwasubiri. Katika kile ambacho waandishi hawakukifikiria, wabunge hao waliwasili kwa miguu na kuelekea moja kwa moja ndani ambapo waandishi walizuiwa kuingia. Ushahidi huo, wameuwasilisha ikiwa imepita siku moja tangu Lema na Nassari walipofanya mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha kueleza jinsi madiwani wao walivyoshawishiwa na kwa rushwa kuihama Chadema. picha kwa hisani ya mwananch

Thursday, September 28, 2017
no image

kanuni mpya za maudhui ya mitandao.soma zaid

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Ole Gabriel anakaribisha wageni katika kikao hiki muhimu na kuwashukuru wadau kujitokeza. Hatukutaka kujifungia ndani na kuja na kanuni zetu, bali tumeamua kuita wadau tujadiliane. Habari ina nguvu, pasipokuwa na kanuni nzuri, mifumo na msingi madhubuti inaweza kuwa hatari. "Ni lazima tuwe na kanuni ambazo zitaangalia maudhui ya ndani na kuepuka mambo ya kigeni". Nataka kanuni hizi zihakikishe vyombo vya habari vinawapa haki ya kupata habari wenye mahitaji maalumu. Uhuru wa mitandao lazima uwe na mipaka yake ili usibugudhi au kuwadhuru watu wengine. Kanuni za Maudhui Mtandaoni zitawahusu wenye; Blogs, Apps, Forums, Internet Cafe, waendeshaji Social Media Accounts na watumiaji wa mitandao Kanuni zinataka wamiliki; Kujisajili, Kutoa maelezo ya wanachokifanya, Kuondoa taarifa zinazoenda kinyume na sheria ndani ya saa 24 ''Msidanganyike kulilia uhuru usio na mipaka, najua kuna mataifa yanachochea uhuru huo, msifuate maneno yao" Mitandao imekuwa ikitoa habari kwa harakati lakini inatumiwa vibaya, kuanika siri za watu na kushambulia serikali. Tunaweka kanuni hizi ili mtumie mitandao hiyo kwa mujibu wa maslai ya kuhabarisaha huku mkiwa salama. Kuanzia saa kumi na moja asubhui hadi saa tatu usiku, hakuna kurusha maudhui ya nje, iwe muziki au habari. Radio na TV nyingi huweka muziki kuliko vipindi vya kuelimisha, sasa ni lazima 2% ya vipindi viwe vya kuelimisha Katika Kanuni mpya, Kituo cha habari kitatakiwa kuwa na vipindi vingi vya Tanzania kuliko vya nje. kwa Muziki, wapige 80% ya wanamziki wa Tanzania Atakayekiuka Kanuni maudhui mitandaoni, faini yake si chini ya Sh 5 milioni au kifungo kisichopungua miezi 12 au vyote" - Dk Filikunjombe Bloga lazima asajiliwe na achuje baadhi ya taarifa, pia awe tayari kuwataja wanaompa taarifa wakati wowote atakapotakiwa. Kwa wamiliki wa internet cafe, lazima aandike kuwa video na picha za ngono haziruhusiwi, pia atatakiwa kuweka kamera(CCTV) kwenye cafe yake. Kwa watumiaji, uhakikishe una uhakika na unachokiandika mtandaoni, vilevile simu au kompyuta yako haviwezi kutumiwa na mtu mwingine.
Sunday, September 24, 2017
no image

Kenya:.mwendesha mashitaka mkuu inchini kenya ameamuru uchunguzi ufanyike dhisi ya tume ya kusimamia uchaguzi nchini kenya IEBC.

. Hii ni kuhusiana na makosa yaliyofanyika wakati ilipokuwa ikishughulikia uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi uliopita. Bwana Keriako Tobiko ameiomba idara ya polisi pamoja na tume ya kupambana na ufisadi nchini humo, kuwasilisha kwake ripoti ya uchunguzi huo katika kipindi cha siku 21 zijazo. Pia amewaomba kuchunguza madai kuwa, maafisa wawili wakuu wa muungano wa upinzani nchini Kenya, walifaulu kudukua kompyuta za tume ya uchaguzi. Hiyo inafuatia uamuzi wa mahakama ya juu zaidi nchini Kenya kufutilia mbali uchaguzi wa Urais wa Agosti nane kwa madai kwamba kulikuwa na makosa chungu nzima, huku mahakama hiyo ikikataa kuwalaumu moja kwa moja maafisa wakuu wa tume hiyo kwa kufanya makosa. Tarehe ya Uchaguzi mwingine imetangazwa kuwa Oktoba 26.

Friday, September 22, 2017
no image

polisi wamshilia mwanafunzi wa chuo cha IFM kwa kumiliki Bastola.soma zaid

Polisi Dar wanamshikilia mwanafunzi wa chuo cha IFM mwaka wa tatu mkazi wa Segerea anayeitwa Robson Isack Maji kwa kukutwa na bastola aina ya Beretta ikiwa na risasi 6 ndani ya magazine Polisi walipata taarifa kuna watu hukodisha silaha kwa majambazi ili wafanye uhalifu na kisha walipwe fedha, ndipo walipoanza kufuatilia na kumnasa mwanafunzi huyo , katika maelezo ya awali anadai silaha hiyo na pia angeiuza kwa shilingi milioni mbili na nusu na alikuwa ameiiba kwa baba yake anayefahamika kwa Isack Maji ambaye pia sio mmiliki halali wa silaha hiyo, amabye polisi imemkamata pia. Mshitakiwa amekiri kosa hilo na amemtaja Patrick Makai ambaye pia polisi wamemkamata kama mshirika wake kwenye kukodisha silaha kwa majambazi. Polisi mpaka sasa wanamtafuta mmiliki halali wa silaha hiyo. Polisi pia wamekamata gari ya wizi lenye usajili wa T364 DJV Noah Nyeupe huko Mbezi, Polisi wanawashikilia Mustapha Hassan Mkazi wa Kimara Mwisho Athuman Peter Ngosha mkazi wa Kivule na wamebaini watuhumiwa waliiba gari hiyo tarehe 21/09/2017 kwa mtu anayefahamika kwa jina la Shoo huko Bunju na bado wanamtafuta mtuhumiwa mmoja aliyefanikiwa kukimbia Pia polisi imewakamata watuhumiwa 203 kwa kupatikana na pombe haramu ya gongo na madawa ya kulevya aina ya bangi, lita 1,479 za gongo na mitambo 14 ya kutengeneza pombe hiyo pia vimekamatwa Pia polisi wamekamata vyombo vya usafiri kwa makosa 11,374 na kukusanya faini kiasi cha Shilingi 33,9510,000 kutokana na makosa hayo -

Back To Top