Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Friday, January 29, 2016
no image

Mkuu wa mkoa wa mwanza avunja bodi ya shule na kumsimamisha mkuu wa shule na walimu wawili.soma zaidi.

Mkuu wa mkoa wa mwanza magesa mlongo amevunja vodi ya shule ya sekondari pamba iliyopo jijini mwanza  na kumuvua madaraka Mkuu wa shule hiyo Aidani Dotopery pamoja na walimu wengine wawili kutoka na kushindwa kusimamia  vyema matumizi ya fedha na mali za while zao.chanzo ITV tz

Ccm kutumbua majipu yaliyohusika na upotevu wa shilling5.8billon wilayani kasulu kigoma.soma zaid.

Ccm kutumbua majipu yaliyohusika na upotevu wa shilling5.8billon wilayani kasulu kigoma.soma zaid.

Chama cha ccm wilayani kasulu mkoani kigoma kimewataka madiwani wote waliohusika na upotevu wa zaidi ya shillingi5.8billon katika halimashauri hiyo kuhakikisha pesa hizo zinarudishwa kabla chama hicho hakijachukua hatua zaid.chanzo redio kwizera.

Mwili wa mtu mmoja umepatikana baada ya kivuko cha kilombero kuzama.soma zaid.

Mwili wa mtu mmoja umepatikana baada ya kivuko cha kilombero kuzama.soma zaid.

January 26,2016 kulikuwa na taarifa ya kutokea ajari ya kivuko cha kilombero kilichokuwa kimepakia watu na magari.wapo waliofanikiwa kutoka salama lakini bado wengine hawakuwa wametoka.jitihada zikaanza kuhakikisha uokoaji unafanyika. Ripot kutoka kituo cha ITV imenifikia tayari kwanza mwili wa mtu mmoja umepatikana na bado jitihada za uokoaji zinaendelea.

Kipindupindu chazitesa familiya za kitanzania .

Kipindupindu chazitesa familiya za kitanzania .

Watu kumi wamelazwa wilayani itilima mkoani simiyu baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu wilaya ambyo haikuwa na mgonjwa hata mmoja.chanzo ITV.

Thursday, January 28, 2016
Moto wateketeza bweni la shule ya sekondari Eward Lowasaa.soma zaid.

Moto wateketeza bweni la shule ya sekondari Eward Lowasaa.soma zaid.

Moto wateketeza bweni la shule ya sekondari Edward Lowassa. Bweni la wanafunzi katika while ya sekondari ya Edward lowassa iliyopo wilayani monduli mkoani Arusha limeteketea kwa mito na wanafunzi 70 wa kidato cha kwanza wanelazimika kupewa likizo ya wiki moja baada ya kukumbwa na hofu iliyotokana na moto huo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Be.salum sekeman amesema umeme Hui umesababishwa na hitilafu ya umeme.

Ugonjwa wa kipindupindu waendelea kuwa tishio kwa watanzania wengi wao wagundulika kuumwa ugonjwabhuo.soma zid.

Ugonjwa wa kipindupindu waendelea kuwa tishio kwa watanzania wengi wao wagundulika kuumwa ugonjwabhuo.soma zid.

Watu 29 wamelazwa katika hospital ya mrara ya harimashauri ya mji wa babati mkoani manyara baada ya kugundulika kuugua ugonjwa wa kipindupindu  huku wataalamu wakihofu huenda idadi kubwa ya  ugonjwa ikaendelea Kuongezeka kutokana baada kupokea wagonjwa 18siku tatu zilizopita hadi kufikia sita  mchana wa waleo (alhamisi) idadi hiyo imeongezeka toka wagonjwa 28 hadi29.chanzo ITV tz.

Mabomu ya kurushwa kwa mkono yaokotwa mkoani kigoma.soma zaid.

Mabomu ya kurushwa kwa mkono yaokotwa mkoani kigoma.soma zaid.

Mabovu mawili ya kurushwa kwa mkono yameokotwa katika eneo  forodha  ujiji mjini kigoma kandokando ya ziwa Tanganyika na mabom hayo yalikutwa eneo hilo na polisi waliokuwa doria.Akizunguza na wandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa kigoma Ferdinand mtui alisema mabom hayo yalichukuliwa na wataalam wa mabom wa jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili ya uchunguzi.chanzo IVT.

Waziri mkuu ataka Television ya taifa TBC kutorusha vikao vinavyofanyisha bungeni.

Waziri mkuu ataka Television ya taifa TBC kutorusha vikao vinavyofanyisha bungeni.

Serikali imeafiki bunge kutorushwa live muda wote na Television ya Taifa kasema waziri Mkuu kassim majariwa.chanzo mwanamch.

Wednesday, January 27, 2016
Polisi na umbwa wakali watumika kupambana na wabunge wa upinzani bungen jion ya leo.soma zaid.

Polisi na umbwa wakali watumika kupambana na wabunge wa upinzani bungen jion ya leo.soma zaid.

Wabunge wa upinzani wapambana na polisi ndani ya bunge kwa kukataa maamzi ya mwenyekiti wa bunge  Andrew change kuhusu kujadili hoja ya zitto kabwe ya kupinga TBC kutoonesha mjadala wa binge LIVE........    Baada ya change kukataa hoja ya zitto kabwe wabunge wa upinzani wakapinga hoja hiyo ndipo polis wakaingizwa kupiga wabunge wa upinzani na kuagiza kamera ya TV na magezeti kuzimwa hata umbwa wakaingizwa bungeni chanzo goodluck peter mtenga break new tanzaniz.

Friday, January 22, 2016
Majipu yaendelea kutumbuliwa mwanza watumish wanne wasimamishwa. soma zais.

Majipu yaendelea kutumbuliwa mwanza watumish wanne wasimamishwa. soma zais.

Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasilianoprof.makame mbarawa amewasimamisha kazi watumishiwa  wanne wa kampuni ya huduma ya meli  mwanza kwa kufanya kazi kinyume na sheria ya utumishi  na ubadilifu na kubain upotevu wa shilingi million mia sits.

Mgogoro wazuka kati ya wafanya biasha wa vyakula na matunda mkoan morogoro.

Mgogoro wazuka kati ya wafanya biasha wa vyakula na matunda mkoan morogoro.

Mgogoro umezuka manispaa mkoani morogoro baada ya mgambo wakishirikiana na polisi na wanajesh wa kujenga taifa JWTZ kuwakamata wafanya biashara wa vyakula na wamatunda wanaouzia maeneo yasioruhusiwa.chanzo ITV.

Rais wetu leo ameamua kuvaa magwanda ya kijeshi.

Rais wetu leo ameamua kuvaa magwanda ya kijeshi.

Katika hali kushangaa wananchi wameshanga baada ya kuona raisi akioneka hadharani akiwa amevalia magwanda ya kijesh leo mkoani Arusha kwa ziara ya kwanza.

Wednesday, January 20, 2016
Makamu wa UWT zanzibar Afariki dunia.

Makamu wa UWT zanzibar Afariki dunia.

Makamu mwanyekiti wa UWT Zanzibar Asha.B.makam afariki dunia Dubai akitoka kutibiwa inchini India.chanzoRadio one sterio

Ofisi ya kamishina mkuu ya TRA yavamiwa na kuiba compyuta na vifaa vingine.

Ofisi ya kamishina mkuu ya TRA yavamiwa na kuiba compyuta na vifaa vingine.

Watu wasiojulikana wamevamia na kuvunja ofisi ya kamishina Mkuu wa mamlaka ya mapata Tanzania (TRA) na kuiba compyuta na vifaa vingine. Taarifa zinasema miongoni mwa kompyita zilizoibwa  ni ile aliyokuwa anaitumia na Dr.Philip mpango alipokaimu nafasi ya kamishina mkuu kuwa waziri wa fedha.chanzo jamii forums.

Monday, January 18, 2016
Wananchi wa kinondoni wafunga barabara kupinga bomoabomoa.soma zaid.

Wananchi wa kinondoni wafunga barabara kupinga bomoabomoa.soma zaid.

Wananchi wa kinondoni jijini dar es salaam wamefunga Barbara ya kawawa eneo la Mkwajuni kwa muda wakipinda Bomoabomoa ya nyumba zao. Wamechoma matairi na kujaza magogo barabarani.chanzo jamii forums.

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege afariki dunia.soma zaid.

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege afariki dunia.soma zaid.

Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege Suleiman.s.suleimani afariki dunia akiwa kwenye klabu ya kuogelea na wenzake katika utalatibu waliojiwekea. Msemaji wa mamlaka ya viwanja vya ndege Ramadhani maleta amesema msiba uko upanga karibu na ngome na atazikwa majira ya saa kumi jion.source Radio one stereo.

Sunday, January 17, 2016
Ufisadi wa mashamba ya mkonge tanga kuchunguzwa.

Ufisadi wa mashamba ya mkonge tanga kuchunguzwa.

Waziri wa ardhi nyumba na makazi William lukuvi amesema kuwa serikali inachunguza ufisadi wa mamilioni ya fedha katika uwekezaji wa mashamba ya mkonge mkoani tanga.serikali imesema inawachunguza wawekezaji wa mashamba hayo ambao wameweka hati za mashamba hayo katika benki kwa ajili ya dhamana ya mikopo.chanzo jamii forums.

Kamati ya migogoro ya bunge la jumuiya ya afrika mashariki unatalajia kukutana kesho.

Kamati ya migogoro ya bunge la jumuiya ya afrika mashariki unatalajia kukutana kesho.

Kamati ya migogoro la bunge la jumuiya ya Afrika mashariki linatalajia kukutana kesho hapa mjini Arusha kuzungumzia mgogoro wa kisiasa wa Burundi.chanza ITV

Wanafunzi wa madarasa matatu watumia chumba kimoja cha darasa huko bagamoyo.soma zaidi.

Wanafunzi wa madarasa matatu watumia chumba kimoja cha darasa huko bagamoyo.soma zaidi.

Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Milo katika Kara ya vigwaza wilayani bagamoyo wanasoma katika chumba kimoja cha darasa kwa wakati mmoja kutoka na ukosefu wa majengo ya kutosha.chanzo ITV

Saturday, January 16, 2016
Msumari wageukia sekta ya madini mgodi wa kyela wasimamishwa.

Msumari wageukia sekta ya madini mgodi wa kyela wasimamishwa.

Serikali imesimasha shughuli za uchimbaji wa makaa ya mawe uliokuwa ukifanywa na kampuni ya off.route Technology iliyopo katika kijiji cha ngara wilayani kyela na kuviweka chini ya uangalizi vifaa vyake hadi uchunguzi kuhusu madai mbalimbali  yanayoukabli utakapokamilika .Jana wazir wa nishati na madini sospeter muhongo alitembelea katika mgodi unaoneshwa na kampuni hiyo bila kuwa na lesseni halali ya uchimbaji madini.chanzo gazet la mwananch.

TAARIFA KWA UMMA.soma zaid.

TAARIFA KWA UMMA.soma zaid.

Mamlaka ya mapato Tanzania( TRA) inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa mamlaka inaendesha minada ya Hadhara kila siku ya jumatatu na Alhamisi, kuanzia saa 4 asubuh katika Bohari ya Forodha (LW9) iliyopo nyuma ya jengo la NSSF Water Front. Bidha zinaanza kuoneshwa siku moja kabla ya mnada kwa nmada wa siku ya Alhamisi na jumamosi kwa mnada wa siku ya  jumatatu.Wananch Wote  mnakalibishwa kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Forodha simu namba 022-2111180.Barua pepe huduma@tra.go.tz.chanzo gazeti la jamuhuri.

TCRA yavifungia vituo 21 vya Rdio na 6 vya television.

TCRA yavifungia vituo 21 vya Rdio na 6 vya television.

Mamlaka ya mawasiliano inchini Tanzania leo imevifungia  vituo 21 vya Radio na 6 vya television kwa muda wa miezi 3 kikiwemo kituo cha star TV Radio free Afrika, kiss FM na Uhuru FM.chanzo ITV.

Mkurugenzi wa kampuni ya six aburuzwa mahakamani.soma zaid.

Mkurugenzi wa kampuni ya six aburuzwa mahakamani.soma zaid.

Baada ya kampuni ya six telecom kufungiwa na serikali mkurugenzi wake pamoja na wafanyakazi 5 wamefikishwa kortin kwa tuhuma za uhujumu uchumi . ilifungiwa kwa tuhuma za kuikosesha serikali mapato zaidi ya shilingi billon7.6 kwa kutoza chini ya kiwango simu zinazo toka inje.chanzo jamii forums.

Wednesday, January 13, 2016
Bomoabomoa yaendelea Kuwaliza wananchi wa tanzania soma zaid.

Bomoabomoa yaendelea Kuwaliza wananchi wa tanzania soma zaid.

Baadhi ya wakazi wa kimara jijini dar es salaam wamebaki njia panda na kulazima kuiomba serikali kuu kuwasaidia kisheria kutokana na vitisho na taarifa zinazodaiwa kutolewa na mamlaka ya majii safi na maji taka Dawasco kuwa watatakiwa kubomoa magengo yao mita saba na nusu kutoka yalipo mabomba ya kusafilisha maji  ya mtambo mji wa ruvu juu hadi matangi ya kimara badala ya mita tano za awali walizokubaliana kitendo kitakacho sababisha kuwaingizia hasara kwa kubomoa mita mbili na nusu zaid.chanzo ITV.

Prof.Ndalichako kufunga vyuo ambavyo havina sifa.soma zaid

Prof.Ndalichako kufunga vyuo ambavyo havina sifa.soma zaid

Swrikali imesema inampango wa kukagua vyuo vikuu vyote inchini na vile ambavyo vitakuwa havina sofa itavifungia bila kusita. Waziri wa elimu prof.ndalichako amesema vyuo vingi havina sifa licha ya kupewa ithibati.

Habari ya hivi punde Serikali kuokoa wakazi wanaozunguka mgodi wa north mara.

Habari ya hivi punde Serikali kuokoa wakazi wanaozunguka mgodi wa north mara.

Serikali imetoa wiki mbili kwa baraza la taiga la hifadhi na usimamizi wa mazingira nchini kuchukua sampuri za maji ya yanayotiririka kutoka mgodi wa north Mara na kutoa hasharani matokea ya uchunguzi wake ukiwa njia moja wapo ya kumaliza kabisa kilio cha miaka zaidi ya kuni kuhusu madai ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi huo kuwa maji hayo yamekuwa yakisababisha madhara makubwa kwa binadamu vikiwemo vifo vya watu,mifugo na kuathiri vyanzo vya maji katika maeneo hayo.chanzo ITV.

Serikali kupinga hukumu ya shekh ponda.soma zaid

Serikali kupinga hukumu ya shekh ponda.soma zaid

Serikali kukata rufaa mahakama kuu tanzania kupinga hukumu iliyomwachia huru shekh ponds.Aliachiliwa huru baada ya kesi take kukosa ushahidi wa kutosha.chanzo jamii forums.

Kauli mbiu ya hapa kazi tu yaanza kuzaa matunda.

Kauli mbiu ya hapa kazi tu yaanza kuzaa matunda.

Taarifa iliyotolewa na osifi ya taifa ya takwimu NBS jijini Dar es salaam limebainisha kuwa pato la taifa inchini limekuwa kwa asilimia 6.3 ukilinganisha na kipindi kilichopita

Hatimaye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa zanzimbari ajitokeza hadharani baada ya kuahilisha uchaguzi wa zanzibar october 28 baada ya kuwa mafichoni.

Hatimaye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa zanzimbari ajitokeza hadharani baada ya kuahilisha uchaguzi wa zanzibar october 28 baada ya kuwa mafichoni.

Hatimaye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar(ZEC) Jecha salimu jecha Jana ameonekana hadharani katika maadhimisho yasherehe za miaka 52 ya mapinduzi zilizofanyika kwenye uwanja qa Amani mjini unguja.jecha ambaye inaamika alikuwa mafichoni tangu tangu alipotangaza kufuta matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Zanzibar october28 Mwaka jana alionekana ameketi kwenye jukwaa kuu la viongozi jilani na msajili wa vyama vya siasa inchini jaji Francis mutingi.chanzo mwananch.

Wimbi la ujangili laendelea na kutishia tembo kutoweka.

Wimbi la ujangili laendelea na kutishia tembo kutoweka.

POLISI mkoani katavi inamshikulia mkazi wa kijiji cha mbede wilayani mlele.Nzuri ndizu(44)  akituhumiwa kumiliki meno manane ya tembo kinyume na sheria.meno hayo yanakadiliwa kuwa na dhamanibya shilling million120.

Monday, January 11, 2016
TANZIA#Aliyekuwa mubunge wa viti maalum CHADEMA leticia nyerere amefariki dunia.

TANZIA#Aliyekuwa mubunge wa viti maalum CHADEMA leticia nyerere amefariki dunia.

Aliyekuwa mubunge wa viti maalumu CHADEMA Leticia nyerere amefariki  Dunia akiwa nchini marekani. Alifariki Jana saa mbili usiku saa za Afrika mashariki alikuwa hospitalini akipatiwa matibabu.chanzo jamiiforums.

Elimu bure itafanikiwa bila kuangalia haya yafuatayo?

Elimu bure itafanikiwa bila kuangalia haya yafuatayo?

Elimu bure ,Elimu bure.haya numawazo yangu juu ya utoaji wa elimu bure  nchi nzima lakni ikiwavserikali haitatafuta matatizo yanayowakuta walimu kama vile mishahara, uhamisho,posho,miundombinu mibovu ya ufundishaji na mazingira ya ufundishaji hatuoweza kuondoa ujinga umasikini na maradhi.

Utata wa madereva na uongozi wa mabasi yaendayo kwasi

Utata wa madereva na uongozi wa mabasi yaendayo kwasi

Madereva ya mabasi yaendayo kwa kasi jijini dar es salaam wadai kuwa watagoma kuendesha magri hayo wamebaini hayo baada uongozi wa mabasi kuwapa mkataba wa kazi usiokidhi mahitaji.chanzo jamii forum.

habari ya hivi punde.

habari ya hivi punde.

Wananchi wa kijiji cha bunduki kata ya bunduki tarafa ya mgeta wilaya ya mvomero mkoani morogoro wamelazika kutumia tochi na vibatari wakati wa kupata huduma nyakati za usiku katika zahanati ya kijiji hicho baada ya betri inayowawezesha kupatikana kwa umeme wa jua kuharibika na kukosa nishati hiyo.chanzo  ITV.

Sunday, January 10, 2016
Samatta nahodha mpya stars

Samatta nahodha mpya stars

mchezaji bora Africa kwa wachezaji wa ndani Mwaka 2015 mbwana satta amechaguliwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa stars.

Friday, January 8, 2016
serikali yasitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo.soma zaid.

serikali yasitisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo.soma zaid.

Serikali imesitisha ujenji wa bandari iliyokuwa inagengwa bagamoyo hatua hiyo imefuatia baada serikali kutaka kupanua na kuboresha bandari ya dar es salaam na bandari mtwara  ambapo bandari ya bagamoyo ilikuwa inagarimu sh.trillion 22 za kitanzania.chanzo jamii from.

Wednesday, January 6, 2016
Ni mwendo wa utumbuaji majipu.

Ni mwendo wa utumbuaji majipu.

Harimashauri ya kigoma ujiji imewasimamisha watumishi tisa ikiwemo wakuu wa idara saba kufuatia kubain ufisadi na tume iliyoundwa na waziri Mkuu mwisho mwa Mwaka Jana baada kuuza majengo ya serikali na kutoa kandarasi kinyume.chanzo ITV.

Mamlaka ya mapato yaongeza mda wa usajili pikipiki magurudum mawil na magurudum matatu.

Mamlaka ya mapato yaongeza mda wa usajili pikipiki magurudum mawil na magurudum matatu.

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imeongeza mda wa usajili wa pikipiki magurudum mawili na pikipik magurudum matatu mpaka February mosi2016.chanzo ITV.

Habari kutoka ikulu dar es salam

Habari kutoka ikulu dar es salam

Rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania mh. John pombe magufuli amemtumia salam za rambilambi Mkuu wa jeshi la polis hapa inchini IGP ernest mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Gelard Ryoba kilichotokea wilaya ya kibaigwa mkoan Dodom baada ya gari walilopanda kusombwa na maji ya mto. Chanzo ITV.

Ni mwendo wa kutumbua majipu

Ni mwendo wa kutumbua majipu

Waziri Mkuu kassim majaliwa leo hii ametembelea kiwanda za tumbaku mkoan Ruvuma na kusimamisha baadhi ya viongozi wa chama kikuu cha ushirika cha NOSMCU.chanzo ITV

Tuesday, January 5, 2016
Hivi kitendo cha kuchora tatoo ya mpenzi wako ninamaanisha unampenda kwa dhati?

Hivi kitendo cha kuchora tatoo ya mpenzi wako ninamaanisha unampenda kwa dhati?

Hapa nazungumzia tatoo ya shilole kuhusu mpenzi wake nuhoo mziwanda nikweli kwamba shilole alikuwa na mapenzi ya dhati kwa nuhoo?nahii imekuja baada ya shilole kujilaum na kulamika kuchora tatoo na kuandika jina  la nuhoo ambae wameachana.anachokilaum shilole yuko sahii?

serikali kuuza hissa asimilia 49.

serikali kuuza hissa asimilia 49.

Selikari inategemea kuuza asilia 49 za hissa za TANESCO na kuwekeza sh.billion1.2 TANESCO.kama mpango wake wa kuhakikisha TANESCO inazaliza umeme megawati 10000.ifikapo 2025.hayo aliyasema wazir wa nishati prof.sosipta muhongo.

Hiki ndo alichokiona makamu wa rais mh.suluhu hassan.

Hiki ndo alichokiona makamu wa rais mh.suluhu hassan.

makamu wa rais wa Tanzania mh.Samia suluhu hassani amekiri na kusema kuna ufisadi katika secta ya afya akisema asilimia 40% ya dawa zimazotumwa hosiptalini hazitumiki inavotakiwa.chanzo clouds FM.

Hii ni kauli yake wazir mkuu kassim majariwa

Hii ni kauli yake wazir mkuu kassim majariwa

waziri Mkuu wa Tanzania mh.kassim majaria amesitiza na kusema hakuna mtanzania atayekufa kwa njaa kisa amekosa chakula.

Monday, January 4, 2016
Selikari imedhamilia kuimarisha sekta ya afya.

Selikari imedhamilia kuimarisha sekta ya afya.

selikari kuendelea kudhamini afya ya wananchi imenunua machine mpya CT SCANE yenye dhamani ya sh.3.5b na kufungwa katika hospital ya taifa muhimbili.

Back To Top