Breaking News
Loading...

Advert

MICHEZO

MICHEZO

BURUDANI

BURUDANI

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

SIASA & JAMII KWA UJUMLA

Recent Post

Friday, June 30, 2017
Mwanaume amrudisha mke wake kwao baada ya kukuta amemsevu 'MBWA'.soma zaid

Mwanaume amrudisha mke wake kwao baada ya kukuta amemsevu 'MBWA'.soma zaid

Huko nchini Kenya, jamaa mmoja amemrudisha
mke wake kwa wazazi wake baada ya kukuta
amemsave 'MBWA' kwenye simu yake.

NJOMBE:Mwalimu afumaniwa akinya mapenzi na mwanafunzi Darasani.soma zaid

NJOMBE:Mwalimu afumaniwa akinya mapenzi na mwanafunzi Darasani.soma zaid

Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe,
Mkoani Njombe, Ally Kasinge ameagiza
kushikiliwa kwa Makamu Mkuu wa shule
ya sekondari Wanike, iliyopo katika wilaya
hiyo baada ya kukamatwa akifanya
mapenzi na mwanafunzi wake darasani
usiku.
Kasinge ametoa agizo hilo baada ya
kuwepo taarifa ya kuwepo kwa watu
wanaotaka kumsaidia mwalimu huyo
kuvuruga ushahidi kwa kupanga na
wanafunzi wenye ushahidi huo kuongea
tofauti na tukio.
"Kuanzia wanafunzi waliotimuliwa
wahojiwe na polisi na wale wanafunzi
wengine waliotajwa pia wahojiwe na polisi
na mwalimu mwenyewe pia aendelee
kushikiliwa .Huyo ambaye anatuhumiwa
aendelee kushikiliwa na polisi mpaka
tupate majibu, kwa sababu akibaki nje
ataendelea kutengeneza mazingira ya
kutengeneza mtandao wa kutaka
kumsaidia na kupotosha ushaidi" alisema
Mkuu wa Wilaya Ally Kasinge
Mbali na hilo shule ya sekondari ya
Wanging'ombe pamoja na Wanike
zimepandishwa hadhi na sasa zitapokea
wanafunzi wa kidato cha tano, walimu wa
shule hizo wameweka wazi kuwa shule
hizo zinachangamoto ya walimu wa
sayansi ambao ni wachache ukilinganisha
na walimu wa masomo ya sanaa.
Chanzo: Mpekuzi

Wahalifu wanne wauwawa katika mapigano na polisi Kibiti.soma zaid

Wahalifu wanne wauwawa katika mapigano na polisi Kibiti.soma zaid

WAHALIFU WANNE WAUWAWA KATIKA
MAPAMBANO NA POLISI KIBITI
Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua
wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni
mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika
wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji katika
mapambano yaliyodumu kwa zaidi ya nusu saa
katika kijiji cha Pagae wilayani Kibiti mkoani
Pwani.
Akielezea tukio hilo Mkuu wa Oparesheni
Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa
Polisi Liberatus Sabas alisema tukio hilo lilitokea
siku ya Alhamisi juni 29 majira ya saa tatu usiku
kwenye barabara ya vumbi itokayo Pagae
kuelekea Nyambunda ambapo Askari Polisi
wakiwa doria walikutana na kikundi cha watu
kinachokadiriwa kuwa na watu sita ambapo
wahalifu hao baada ya kuona gari la Polisi
walikimbilia vichakani na kuanza kuwarushia
risasi Polisi. — with Silongoi Lepando , Blanca
Peter and Jackie

Wednesday, June 28, 2017
Mawaziri walishwa chips jana Ikulu.somazaid

Mawaziri walishwa chips jana Ikulu.somazaid

U[Kwa maisha ya kawaida mtaani, chipsi mayai ni moja ya vyakula vinavyopendwa na watu wengi hasa kutokana na utamu wake lakini pia ni miongoni mwa vyakula vinavyopatikana kwa haraka zaidi. Mtanzania wa kawaida hujua kuwa Ikulu yalipo makazi na ofisi ya Rais huwa wanakula vyakula vizuri sana, hivyo ukimwambia kuwa pia wanakula chipsi mayai tena siku za sikukuu, anaweza asiamini. Suala la kubana matumizi kama ilivyo sera ya serikali ya awamu ya tano linafanyika si tu kwa kuzuia safari za nje au mikutano kutofanyikia katika hoteli za nyota tano, ni pamoja na aina ya chakula kinacholiwa n wageni Ikulu wakati wa vikao. Mara kadhaa tumeona viongozi wa kitaifa wakipewa pipi na juisi au wakati mwingine wakipewa sambusa wanapokuwa wanakwenda kwenye vikao au mikutano, lakini hii ya jana huenda ikawa imetia fora zaidi. Jana Rais Magufuli aliongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo, kwanza licha ya kuwa siku ya mapumziko, mawaziri hao walikuwa kazini na pili, licha ya kuwa siku kama ya jana watu hula vyakula mbalimbali kama pilau, mawaziri hao waliokuwa Ikulu walikula chipsi mayai. Ndio, umesoma sawa sawa, chipsi mayai. Si kwamba chakula hiki hakifai kuliwa na viongozi hao, au ni vibaya wao kula, lakini kwa vile walikuwa Ikulu na ilikuwa sikukuu, ungetegemea kuona wamepewa vyakula vinavyoendana na sherehe hiyo. Na hii imewashangaza wengi kwenye mitandao ya kijamii kwani ni kwa mara ya kwanza kuona viongozi wakila chipsi Ikulu. Kutokana na fedha kuwa ngumu mtaani, nadhani ni wakati muafaka sisi wananchi tuige mtindo huu wa kubana matumizi ili tuweze kuendana na serikali hii ya Magufuli.chanzo udaku apecial

Bunge limeazimia kumsaneha mbungu wa Arumeru Joshua Nassar.soma zaid

Bunge limeazimia kumsaneha mbungu wa Arumeru Joshua Nassar.soma zaid

# KutokaDodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa kauli moja limeazimia
kumsamehe Mbunge wa Arumeru Mashariki
Joshua Nassari kutokana na kosa la kudharau
mamlaka ya Spika alilolifanya katika kikao cha
thelathini na mbili cha mkutano wa tatu wa
Bunge kilichofanyika tarehe 30 Mei 2016
Bunge limeazimia kumsamehe Joshua Nassari
(Mb) kutokana na kitendo chake cha kuonesha
ushirikiano kwa kamati na pia kitendo chake cha
kiungwana cha kuomba radhi kwa Spika wa
Bunge, kwa wabunge na kwa watu wengine wote
aliowakwaza kutokana na matendo yake.
Joshua Nassari aliitikia wito wa kamati iliyokaa
tarehe 15 Juni 2017 mjini Dodoma bila usumbufu
wa aina yoyote na alipohojiwa na kamati alikiri
wazi kosa lake na kuomba radhi.

Breaking News:Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili Yanga leo.soma zaid

Breaking News:Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili Yanga leo.soma zaid


Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka
miwili ya kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga

Breaking News:Geofrey Nyange afika TAKUKURU.soma zaid

Breaking News:Geofrey Nyange afika TAKUKURU.soma zaid


NYANGE AFIKA TAKUKURU: Makamu wa Rais
wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'
amewasili katika Ofisi za Takukuru Dar,
haijafahamika sababu za kufika hapo.chanzo mwananch

Hivi ndivyo ufukwe wa Coco beach ulivyofurika watu aina mbalimbali hapo jana katika sikuku ya idd pili.soma zaid

Hivi ndivyo ufukwe wa Coco beach ulivyofurika watu aina mbalimbali hapo jana katika sikuku ya idd pili.soma zaid

Mabasi/Daladala kutoka kona kadhaa za jiji la
Dar zilionekana zikishusha watu kwa wingi katika
ufukwe huo ambao ulisheheni pia vyakula vya
kila aina ikiwemo Mihogo,Chips mayai na
wengine walikutwa na Camera ya Blogu ya jamii
wakiwa wemebeba vyakula vyao na kujibweda
kando kando ya ufukwe,ama kwa hakika ilikuwa
burudani kwa wakazi wa jiji la Dar.
Foleni ya kuingia kando kando ya ufukwe nayo
ilikuwa kubwa kiasi ambacho magari mengine
yalipita kwa taabu kuendelea na safari zake.
Chopa ya Jeshi la polisi nayo ilikuwa na kazi ya
ziada kama hivi ya kukagua meneo mbalimbali
yaliyokuwa na mkusanyiko mkubwa wa
watu,Pichani chini Chopa ikionekana kwa mbali
ilipokuwa ikikatiza maeneo hayo.
.

Breaking Newas: Rais wa TFF na katibu wake selestina mwesigwa wakamatwa  na Takukuru kwa mahojiano.sima zaid

Breaking Newas: Rais wa TFF na katibu wake selestina mwesigwa wakamatwa na Takukuru kwa mahojiano.sima zaid

Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inaeleza kuwa, Rais wa Shirikisho la Soka nchini, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na wapo katika Kituo cha Polisi Salander Bridge ili kupisha uchunguzi dhidi yao. hilo limethibitisha na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Takukuru, Mussa Misalaba alipokuwa akihojiwa na kituo cha Radio EFM leo. Misalaba amesema ni kweli wanawashikilia na taarifa zaidi wataitoa baada ya kumaliza uchunguzi wao, kwa sasa ifahamike kuwa viongozi hao wanawashikilia.

Tuesday, June 27, 2017
no image

Lugha ya kiswahili ni lugha ya 10 kati ya lugha 6000 zinazozungumzwa duniani.

Lugha ya kiswahi ni lugha ya kumi10 kati ya lugha elfu sita 6000 zinazozungumzwa duniani.
Hiyo imekuja baada ya wachangiaji katika maadhimisho ya miaja 60 wa idhaa ya kiswahili BBC swahili hapa Dar ea salaam.by mh.mwakyembe

Mwalimu wa sekondari ajiua kwa sumu aacha ujumbe huu.soma zaid

Mwalimu wa sekondari ajiua kwa sumu aacha ujumbe huu.soma zaid

Mwalimu, Betson Sanga aliyekuwa
akifundisha Shule ya Sekondari Milundikwa
iliyopo wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki
dunia baada ya kunywa sumu akiwa katika
nyumba ya kulala wageni mjini hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George
Kyando amesema kwamba mwalimu huyo alifariki
dunia juzi usiku huku akiwa ndani ya chumba
alichokuwa amepanga katika nyumba moja ya
kulala wageni iliyopo eneo la stendi kuu ya
mabasi yaendayo mikoani.
Kyando amesema chanzo cha kifo cha mwalimu
huyo bado hakijafahamika lakini aliacha ujumbe
mfupi wa maneno.
“Kama anadaiwa deni lolote na mtu amweleze
mkurugenzi ambaye ni mwajiri wake, lakini
asilaumiwe chochote juu ya kifo chake,"
amesema Kamanda Kyando wakati akinukuu
ujumbe huo wa marehemu.
Kamanda Kyando pia amesema uchunguzi wa
kitabibu umebainisha kuwa mwalimu huyo alijiua
kwa kunywa sumu.chanzo mwananch

Donald Ngoma asaini mkataba wa miaka mitatu na timu ya polokwane city ya South Afrika.soma zaid

Donald Ngoma asaini mkataba wa miaka mitatu na timu ya polokwane city ya South Afrika.soma zaid


NGOMA AULA: Mshambuliaji wa Yanga, Donald
Ngoma amesaini mkataba wa miaka mitatu na
Polokwane City inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini
(PSL).

Breaking News:Lowassa aachiwa huru kwa dhamana baada ya kuhojiwa.soma zaid

Breaking News:Lowassa aachiwa huru kwa dhamana baada ya kuhojiwa.soma zaid

Muda huu Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Edward Lowassa ameachiwa kwa Dhamana alipokuwa akihojiwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo. Lowassa ameachiwa majira ya saa saba na Gari za msafara wake zilionekana zikitoka nje ya Makao Mkuu ya Jeshi hilo saa 7 na robo. Awali Lowassa aliwasili Makao hayo majira ya Saa 4 asubuhi. Peter Kibatala amesema kuwa Lowassa atareje tena Makao makuu siku ya alhamis saa 6 mchana.

Basi la Mohammed Classic linalofanya safari kutoka Bukoba kwenda Arusha limegonga Ng'ombe zaidi ya 30 barabarani.soma zaid

Basi la Mohammed Classic linalofanya safari kutoka Bukoba kwenda Arusha limegonga Ng'ombe zaidi ya 30 barabarani.soma zaid


KAGERA: Basi la Kampuni ya Mohammed
Classic lagonga Ng'ombe zaidi ya 30
katika barabara inayopita pori la Burigi.
Abiria waliokuwa wakisafiri katika basi
hilo linalofanya safari zake za Bukoba
kwenda Arusha wamesalimika.
jozzeva

Uhuru kenyatta atangaza neema kwa Wakenya.soma zaid

Uhuru kenyatta atangaza neema kwa Wakenya.soma zaid


Chama tawala cha Jubilee nchini Kenya
kimezindua mpango wake wa miaka mitano ijayo,
iwapo kitashinda kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Rais Uhuru Kenyatta amewataka wakenya kumpa
tena ridhaa kuweza kuongoza kwa muhula wa pili
ili kukamilisha miradi ambayo alianzisha katika
kipindi chake cha kwanza cha utawala. Rais
Kenyatta ameahidi kuunda nafasi milioni 1.3 za
kazi na kuongeza idadi ya kina mama
wanaojifungua bila malipo kwenye hospitali za
umma. Hivi punde, mwandishi wetu Shisia
Wasilwa atakuelezea zaidi katika matangazo ya
mchana.

Mwizi wa magari ajisalimisha kituo cha polisi baada ya kushambuliwa na nyuki katika gari alilokuwa ameiba.soma zaid

Mwizi wa magari ajisalimisha kituo cha polisi baada ya kushambuliwa na nyuki katika gari alilokuwa ameiba.soma zaid


BUNGOMA, KENYA: Mwizi wa magari
kutoka nchini Uganda ajisalimisha kituo
cha Polisi baada ya kushambuliwa na
Nyuki katika gari alilokuwa ameliiba. .
Kijana huyo alisema aliamua kikimbilia
kituoni hapo ili kuyaokoa maisha yake.
=====
Francis Sikadigu who surrendered himself
to police after being attacked by a swarm
of bees in Bungoma, June 25, 2017.
Police in Bungoma are holding a
Ugandan national who surrendered
himself to police that he had stolen a car.
The man rushed to the station after a
swarm of bees attacked him as he
attempted to get away with the vehicle.
Francis Sikadigu is said to have been
attacked by the bees as he was driving
the car which was suspected to have
been stolen.
He caused a scene after rushing to
Bungoma Police Station with the bees
following in tow.
Sikadigu then rushed out of the police
station and sought a traditional healer in
a bid to be set free from the bees.
John Wafula, the vehicle's owner, said he
was approached by the suspect who
claimed he wanted five cars for hire on
Friday.
He said they met at a hotel in town to
discuss the terms for the car hire with
Sikadigu who claimed he had a five-day
contract.
Wafula claimed that Sikadigu had insisted
that he wanted the Toyota Premio and
Axio latest models for his clients.
"I gave him a quotation of Sh5,000 per
car for each of the five days."
He said that when he came back to the
negotiation table, he continued sipping
his juice and noticed that he had started
feeling dizzy.
Wafula said that he found himself in
hospital on Saturday and then noticed
that his car keys were missing.
"I approached a traditional doctor who
assured me that my car will be found in
three days," he said.
"The traditional medicine man assured me
that the suspect will not leave Bungoma
town and will be attacked by bees."
After he was set free from the bees, the
man was arrested and taken to Bungoma
police station for interrogation.
Bungoma South OCPD David Kirui said
they are still investigating the matter.
Source: The Star Kenya

Sunday, June 25, 2017
no image

Gari la mafuta lapinduka na kuua watu141.sima zaid


Zaidi ya watu 141 wamefariki nchini
Pakistan na wengi zaidi(zaidi ya 100)
kujeruhiwa katika moto uliowaka baada ya
gari la mafuta kupinduka.
Watu hao walijikuta katika sekeseke hilo
baada ya kukimbilia eneo la tukio kwa
lengo la kuchota mafuta kutoka kwenye
gari hilo.
Bado chanzo cha ajali hiyo wala moto
havijaweza kupatikana. Ajali hiyo
imetokea karibu na mji wa Bahawalpur
katika Jimbo la Punjab.
Pakistan ina historia ya ajali mbaya sana
za barabarani zinazochangiwa na
barabara mbovu, magari mabovu na
uzembe wa madereva.
Mwaka 2015, watu 62 wakiwemo
wanawake na watoto walifariki kusini
mwa nchi hiyo baada ya basi
walilokuwemo kugongana na gari la
mafuta na kusababisha moto mkubwa
uliounguza miili yao vibaya kiasi cha
kushindwa kutambulika.
========
BAHAWALPUR: At least 141 people were
burnt to death and scores injured after an
oil tanker caught fire in Bahawalpur's
Ahmedpur East town on Sunday morning,
officials said.
More than 60 people were reported
injured and taken to Bahawal Victoria
Hospital and District Headquarters
Hospital Sharqia in critical condition, said
Rescue 1122 Director General Dr Rizwan
Naseer.
Most of those taken to the hospitals got
70% burn injuries, while more deaths are
feared.
Vehicles burnt to ashes after the oil
tanker caught fire.
People in the area had gathered to collect
fuel that was leaking from the oil tanker
after it toppled over, said the rescue
sources.
The victims, mostly from the locality near
by, had rushed to the site with utensils to
collect oil spilling from the overturned
tanker.
Eyewitnesses said some people in the
vicinity were smoking cigarettes, which
could have ignited the inferno.
Dozens of vehicles, including 75
motorbikes and four cars, were engulfed
in the blaze that erupted in Pul Paka near
the National Highway, an area located in
the middle of the city.
The Pakistan Army said it had sent
helicopters to evacuate the wounded and
hospitals were put on high alert. The
nearest burn centre is believed to be
more than 150 kilometres away.
Source: Geo.tv
=======
At least 123 people have died and scores
more were injured in a fire that broke out
after an oil tanker flipped over in central
Pakistan early Sunday, an official said.
"At least 123 people have been killed and
more than 100 wounded in a fire which
erupted after an oil tanker turned over
and victims rushed to collect spilt fuel,"
senior local government official Rana
Mohammad Saleem Afzal told state
television.
There was no immediate confirmation
from officials on the cause of the accident
or the fire after the tragic incident
occurred early Sunday near the town of
Ahmedpur East, some 670 kilometres
(416 miles) south of the capital
Islamabad.
The Pakistani military said it was sending
army helicopters to evacuate the
wounded, with hospitals placed on high
alert.
Pakistan has an appalling record of fatal
traffic accidents due to poor roads, badly
maintained vehicles and reckless driving.
At least 62 people including women and
children were killed in southern Pakistan
in 2015 when their bus collided with an
oil tanker, starting a fierce blaze that left
victims burnt beyond recognition.
Source: Yahoo

Friday, June 23, 2017
Watoto wawili wa kiuume na mmoja wa kike wamefarki jijini Mwanza.soma zaid

Watoto wawili wa kiuume na mmoja wa kike wamefarki jijini Mwanza.soma zaid

Watoto wawili wa kiume mmoja na wa
kike mmoja wakazi wa mtaa wa Kigoto,
wilayani Ilemela Jijini Mwanza wamefariki
dunia na wengine wawili kunusurika kifo
katika ajali ya moto iliyosababishwa na
mshumaa kushika kwenye kochi huku
mama wa watoto hao akijeruhiwa na moto
huo wakati akiwaokoa watoto wake.
Wakizungumza katika tukio majirani wa
familia hiyo wamesema kuwa moto huo
umeanza kuwaka majira ya saa nne usiku
na kwamba wamefanya jitihada za
kuwaokoa watoto hao lakini kutokana na
moto kuwaka kwa kasi wameshindwa
kuwaokoa watoto wawili
Nae baba mzazi wa watoto hao, Said
Daudi amesema kuwa wakati moto huo
unawaka katika nyumba yake hakuwepo
nyumbani hivyo alikuwepo mama yao na
alikuwa nje huku watoto wakiwa ndani
ndipo mshumaa ulishika kwenye kochi na
kusababisha madhara hayo
Kwa uapnde wa kaimu mwenyekiti wa
mtaa huo, Zakayo Yusuph amethibitisha
kutokea kwa tukio hilo na kuwomba
wananchi kuwa makini na matumizi ya
mishumaa.
Katika hatua nyingine mwenyekiti huyo
amewataka wananchi kuzingatia matumizi
ya mishumaa kwa lengo la kuepuka na
majanga ya moto pindi wanapotumia.
chanzo; dewjiblog

Wednesday, June 21, 2017
RASIMI# Haruna Niyonzima aipiga chini Yanga akataa kusaini mtaba mpya.soma zaid

RASIMI# Haruna Niyonzima aipiga chini Yanga akataa kusaini mtaba mpya.soma zaid

Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu
Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha
wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga juu
Mchezaji raia wa Rwanda Haruna Niyonzima
ambaye amekua Mchezaji wetu kwa misimu 6
mfululizo katika kiwango cha juu.
Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba
mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini
hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao
kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika
mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu
kuwa na nia za kuendelea nae kwa misimu miwili
ijayo.
Klabu inamtakia kila la kheri katika maisha yake
na soka kwa ujumla.
Imetolewa na Idara ya Habari na Maelezo
Young Africans Sports club.
21-06-2017.

Monday, June 19, 2017
Ofisa TRA Shija Richard amechukua fomu ya kuwania uraisw wa TFF.soma zaid

Ofisa TRA Shija Richard amechukua fomu ya kuwania uraisw wa TFF.soma zaid


Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),
Shija Richard amechukua fomu ya kuwania urais
wa TFF katika uchaguzi utakaofanyika Agosti.

BREAKING:Takukuru inawashilia waliotajwa kashifa ya Escrow.soma zaid

BREAKING:Takukuru inawashilia waliotajwa kashifa ya Escrow.soma zaid

AKUKURU inawashikilia Singh Sethi na Rugemalila(Waliotajwa kashifa ya Escrow ) kwa tuhuma za uhujumu uchumi - Kupelekwa Mahakamani TAKUKURU imesema inawafikisha mahakamani watuhumiwa, James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi
Chanzo muungwana blog
 
Saturday, June 17, 2017
Uko tayari kulipwa sh.10milion  kwa kuambukizwa kikohozi?

Uko tayari kulipwa sh.10milion kwa kuambukizwa kikohozi?


Southmpton. Je ni fedha kiasi gani zinaweza
kukushawishi kukubali kuambukizwa kikohozi ili
kusaidia uvumbuzi wa kisayansi?
Watafiti wa Chuo Kikuu cha Southampton
wamesema watampa pauni 3,526 (sawa na
Sh10.3 milioni) mtu yeyote atakayejitokeza ili
kukubali changamoto hiyo.
Lengo lao kubwa ni ili kutengeza chanjo bora ili
kuwalinda watoto na watu wazima ambao wapo
hatarini kuambukizwa ugonjwa huo.
Ili kusaidia ni sharti mtu awe na umri wa kati ya
miaka 18-45, awe na afya bora, awe tayari
kutengwa kwa siku 17 na kuimba.
Kikohozi ni ugonjwa unaoweza kuambukizwa kwa
haraka na huenezwa kupitia hewa ya kikohozi
kutoka kwa mtu ambaye ameambukizwa.
Kundi hilo la watafiti wa Chuo Kikuu cha
Southampton linataka kuwaambukiza watu walio
na afya nzuri kwa kuwawekea puani viini
vinavyosababisha maambukizi hayo na
kuwachunguza.
Baadhi ya watu waliojitolea watakuwa wagonjwa,
lakini wanasayansi wanawataka wale ambao
hawatakuwa na dalili zozote licha ya kuwekewa
viini hivyo katika pua zao.
Hatu hii inalenga kujua wale wenye kinga ya asili
ya ugonjwa huo.
Vilevile, wapo wanaobeba ugonjwa huo kwa siri
na huwaambukiza watu wengine, lakini huwa
hawaambukizwi.

TETESI USAJIL WA SOKA ULAYA JUMAMOS.2017

TETESI USAJIL WA SOKA ULAYA JUMAMOS.2017


*Kitendawili cha Ronaldo kigumu
*Arsenal kuvunja rekodi ya dunia ya usajili
*De Gea anatafuta nyumba Spain
Real Madrid imesema mshambuliaji wake
Cristiano Ronaldo hajaiambia klabu hiyo kuwa
anataka kuondoka (ABC).
Hata hivyo, mshambuliaji huyo wa kimataifa wa
Ureno hajapanga kurejea Spain baada ya
kucheza katika Kombe la Shirikisho linalofanyika
Urusi (Record).
Ronaldo alimwambia wakala wake Jorge Mendes
miezi miwili iliyopita kuwa anataka kuondoka
Madrid (AS).
Chelsea hawapo tayari kumpa mamlaka makubwa
Antonio Conte kwenye suala la usajili, huku
kukiwa na tetesi kuwa meneja huyo anazidi
kughadhabishwa na kutokuwepo na usajili
wowote (Guardian).
Lakini Chelsea wamesisitiza kuwa hawana
mpango wowote wa kumuachilia Conte aondoke
na watampa kila msaada katika suala la usajili,
huku mikataba ya wachezaji wanne ikiandaliwa
ukiwemo wa Romelu Lukaku, 23, na kitita cha
usajili huenda kikafikia pauni milioni 250 (Daily
Mirror).
Manchester City wamemkabidhi Pep Guardiola
pauni milioni 300 kwa ajili ya usajili, lakini City
hawataki kulipa pauni milioni 70 kumnunua beki
wa kati wa Southampton Virgil van Dijk, 25
(Manchester Evening News).
Arsenal wameripotiwa kupanda dau la kuvunja
rekodi ya dunia la zaidi ya pauni milioni 100
pamoja na Olivier Giroud ili kumsajili Kylian
Mbappe kutoka Monaco (Sun).
Chelsea hawana mpango wa kumruhusu Conte
aondoke, na watamkabidhi pauni milioni 250 za
usajili kuthibitisha hilo (Mirror).
Manchester United watamsajili winga Ivan Perisic
kwa pauni milioni 44 wiki chache zijazo (Mail).
David de Gea ameongeza juhudi za kutafuta
nyumba Spain wakati akijiandaa kuondoka
Manchester United (Star).
Michy Batshuayi atakataa kwenda West Ham,
huku akijaribu kujadili na Chelsea mustakbali
wake (Express).
Kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma
amependekezwa kwenda Manchester United na
wakala wake Mino Raiola (Diario Gol).
Manchester United na Liverpool watalazimika
kutoa pauni milioni 50 iwapo wanataka kumsajili
kipa wa Leicester City Kasper Schmeichel (The
Sun).
Beki wa kati wa Roma Kostas Manolas anasakwa
na Chelsea kwa pauni milioni 42 (Sport FM 94.6
ya Ugiriki).
Manchester United na Juventus zitamfuatilia
kiungo wa Barcelona Andre Gomes (AS).
Klabu yoyote inayotaka kumsajili Cristiano
Ronaldo kutoka Real Madrid italazimika kutoa
euro milioni 400 (Gazzetta dello Sport).
Kiungo wa Monaco Tiemoue Bakayoko
amechagua kujiunga na Chelsea na kuzitosa
Manchester City na Manchester United (L’Eqipe).
Bayern Munich bado wanamfuatilia kiungo wa
Paris Saint Germain Marco Verratti, licha ya
kumsajili Corentin Tolisso kutoka Lyon (Bild).
Kipa wa akiba wa Manchester City Willy
Caballero, 35, anatarajiwa kuthibitishwa kuwa
usajili wa kwanza wa Chelsea wa msimu
(Evening Standard).
Tottenham wamewaambia Manchester United
kuwa watalazimika kutoa pauni milioni 50
kumsajili kiungo Eric Dier, 23 (Daily Telegraph).
Arsenal watarejea tena Lyon wakiwa
wameongeza dau kufikia karibu pauni milioni 50
kutaka kumsajili Alexandre Lacazette, 26. Dau la
awali la pauni milioni 30 lilikataliwa msimu
uliopita (Daily Telegraph).
Lyon wapo katika mazungumzo ya kina ya
kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Chelsea
Bertrand Traore, ambaye alikuwa Ajax kwa
mkopo msimu uliopita (Evening Standard).
Beki wa kulia wa Juventus Dani Alves
ameshutumiwa vikali na mashabiki kwa kusema
Pablo Dybala, 23, anatakiwa kuondoka Juve
iwapo anataka kupata maendeleo katika soka (Il
Giornale).
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na
Manchester United Robin van Persie, 33,
anakaribia kuondoka Fenerbahce na kwenda
Feyneerd ya Uholanzi (FR12.nl).
West Ham wanataka kumsajili winga wa
Middlesbrough Adama Traore, 21, lakini
Middlesbrough wamesema hawana tatizo la
fedha (Teeside Gazette).
Inter Milan watataka pauni milioni 45 kutoka kwa
Manchester United wanaotaka kumsajili winga
Ivan Perisic, lakini United wanataka kutoa Pauni
milioni 30 (Manchester Evening News).
Kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich Douglas
Costa, 26, anakaribia kuhamia Juventus kwa
kitita cha pauni milioni 26, ambapo amekubali
mkataba wa miaka mine (L’Equipe).
Arsenal wanatarajiwa kuwazidi kete Everton
katika kumsajili mshambuliaji wa AC Milan
M’Baye Niang, 22, ambaye alikuwa Watford kwa
mkopo msimu uliopita (Hertfordshire Mercury).
Birmingham bado wanasubiri jibu kutoka kwa
nahodha wa zamani wa Chelsea John Terry, 36,
ambaye amekubali dau lao la pauni 100,000 kwa
wiki (Daily Mirror).
Swansea bado wanazungumza na Galatasaray
kuhusu kuwauzia Bafetimbi Gomis, 31, ambaye
alikuwa Marseille kwa mkopo msimu uliopita
(Wales Online).
Hull na Ndwcastle zote zinamuania mshambuliaji
wa Chelsea Tammy Abraham, 19 kwa mkopo
(Sun).
Habari zilizothibitishwa tutakujuza mara tu
zitakapothibitishwa. Tetesi nyingine kesho
tukijaaliwa. Weekend njema nyote.
Tafadhali share tetesi hizi na wapenda soka
wote.

Thursday, June 15, 2017
Mlipuko waua 7 na wengine 59 wajeruhiwa katika shule ya chekechea China.soma zaid

Mlipuko waua 7 na wengine 59 wajeruhiwa katika shule ya chekechea China.soma zaid

Watu saba wameripotiwa kufariki huku wengine 59 wakijeruhiwa katika mlipuko uliofanyika katika shule ya chekechea nchini China, kulingana na chombo cha habari cha serikali. Chombo cha habari cha Xinhua kimesema kuwa mlipuko huo ulitokea nje ya shule hiyo katika kaunti ya Fengxian mkoa wa mashariki wa Jiangsu. Haijulikani ni watoto wangapi walioathiriwa na mlipuko huo. Sababu ya mlipuko huo haijulikani. Unaaminika kutokea wakati wazazi walipokuwa wakiwachukua watoto wao nyakati za jioni. Picha ambazo hazijafanyiwa uhakiki zilionyesha watu wazima waliokuwa wakivuja damu huku watoto wakiwa wamelala ardhini. Kanda ya video ilionyesha watu waliojeruhiwa wakiwabeba watoto waliokuwa wakilia huku mwanamke mmoja aliyevalia nguo zilizochomeka akionekana kupepesuka. Watu wawilki waliuawa papo hapo huku wengine watano wakifariki kutokana na majeraha kulingana na Xhinua. Tisa ya waliojeruhiwa wamedaiwa kuwa katika hali mahututi. Maafisa wa polisi wanasema kuwa wameanzisha uchunguzi . Tovuti ya habari ya China Sohu ilimnukuu mmiliki mmoja wa duka akisema mlipuko mkubwa umesikika ambao anadhani huenda ulisababishwa na kulipuka kwa gesi katika mgahawa mmoja wa chakula.

Mwandishi wa habari wa ABC apigwa risasi shingoni kimakosa nchini Kanada.sona zaid

Mwandishi wa habari wa ABC apigwa risasi shingoni kimakosa nchini Kanada.sona zaid

CANADA: Mwandishi wa habari wa Kituo
cha ABC nchini Canada, Adam Harvey
amepigwa na risasi kwa makosa shingoni
wakati akiripoti mapigano yanayoendelea
chini Ufilipino.
Licha ya kunusurika, lakini risasi hiyo
imenasa shingoni mwa mwanahabari
huyo.
Leo, Harvey ametupia picha yake ya X-ray
katika mtandao wa Twitter ikionyesha
risasi ilivyokwama ndani ya shingo lake.
Hata hivyo, Mkurugenzi wa Kituo cha
ABC, amesema jeraha hilo sio la
kumtishia maisha.
Harvey amesema alipigwa risasi wakati
akiinama kuchukua chakula kutoka
kwenye gari.
“Ingawa nilikuwa nimevalia mavazi ya
kujikinga dhidi ya risasi, lakini nilisikia
nikigongwa na kitu nilichohisi ni kama
mpira wa kriketi,” amesema Harvey.
Chanzo: Mwananchi

Chama cha mapinduzi CCM  chawageuka Chenge,Ngeleja na Mhongo.soma zaid

Chama cha mapinduzi CCM chawageuka Chenge,Ngeleja na Mhongo.soma zaid


Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM),
kimewataka wote waliotajwa katika ripoti ya
kamati ya pili iliyochunguza makontena 277 ya
mchanga wa madini, kutoa ushirikiano kwa
vyombo vya dola vitakavyowahoji.
Waliotajwa katika ripoti ya pili ni aliyewahi kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Andrew
Chenge, waliokuwa mawaziri wa Nishati na
Madini, William Ngeleja, Profesa Sospeter
Muhongo na na Nazir Karamagi.
Akizungumza na wanahabari leo (Alhamisi) katika
ofisi za Lumumba, Katibu wa Itikadi na Uenezi
wa CCM, Humphrey Polepole amesema ili
vyombo vya dola viweze kufanya kazi yake kwa
haraka na ufanisi, waliotajwa wanapaswa kutoa
ushirikiano.
Polepole amesema chama hicho chenye Serikali
kinaviagiza vyombo vya dola kuwahoji
waliohusika kwa haraka ili Watanzania wajue
ukweli wa yaliyotokea.
Amempongeza Rais John Magufuli kwa
kuthubutu kudai rasilimali ambazo zimekuwa
zikiibiwa.
Pia, amewataka wananchi kumuunga mkono Rais
Magufuli kwa kazi anayoifanya badala ya
kugawanyika.

Mbunge Joseph Msukuma anataka mawazir wafanyiwe ' interview' kabla ya kuteuluwa ,ahoji uhalali wa digrii zao.soma zaid

Mbunge Joseph Msukuma anataka mawazir wafanyiwe ' interview' kabla ya kuteuluwa ,ahoji uhalali wa digrii zao.soma zaid



Dodoma. Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph
Kasheku maarufu kwa jina la Msukuma, ametaka
mawaziri kufanyiwa usahili kabla ya kuteuliwa
kushika nafasi hizo kutokana na baadhi yao kuwa
na elimu ya juu, lakini wanashindwa kutekeleza
majukumu yao kikamilifu.
Akichangia katika hotuba ya Bajeti Kuu leo
Alhamisi bungeni mjini hapa, Msukuma amesema
walioaminiwa na kupewa nafasi hizo wamekuwa
wakitajwa kwenye kashfa kubwa.
"Wengine wamegushi vyeti, tukiangalia wana
madigrii huenda wengine wana uwezo mdogo
wanazidiwa na makaratasi makubwa,"amesema.

no image

Gari aina ya fusoyenye namba 880 EF imepata ajali katika daraja.soma zaid

Gari aina ya fuso yenye namba Z 880 EF
imepata ajali katika daraja la kitope wilaya ya
kaskazini B baada ya kufeli break kulikopelekea
kuacha njia na kutumbukia katika daraja la hilo.
Tukio hilo limetokea jana juni 13, 2017 majira ya
saa nne na dakika hamsini asubuhi, wakati gari
hiyo ilipokua ikitokea kazole na kuelekea mto
mchanga.
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa
wa kaskazini unguja Hasina Ramadhan Taufiq
amewataja majeruhi wa ajali hiyo kuwa ni Dereva
Mbaraka Mohammed Khamis mwenye umri wa
miaka 50 mkazi wa mfenesini, mwengine ni
Emmanuel Maganga Charles miaka 26 mkazi wa
Bububu na Ali Mohammed Juma miaka 29 mkazi
wa Donge. Majeruhi wamelazwa katika hospitali
ya Mnazi mmoja na hali zao zinaendelea vizuri.

Mbunge Willian Ngeleja atoa yamoyini baada ya ripoti ya mchanga wa madini.soma zaid

Mbunge Willian Ngeleja atoa yamoyini baada ya ripoti ya mchanga wa madini.soma zaid

        
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, William
Ngeleja amesema maisha hayana budi
kuendelea.
Kwa ufupi
Ngeleja ameyasema hayo leo Alhamisi, wakati
akichangia mjadala wa bajeti ya Serikali
baada ya Mbunge wa Mbozi (Chadema),
Paschal Haonga kuomba taarifa ya mbunge
huyo wa Sengerema kutajwa kuhusika kulitia
Taifa hasara kutokana na mapato ya madini.
By Julius Mnganga, Mnganga jmathias@
mwananchi.co.tz
Dodoma. Baada ya kutajwa miongoni mwa
wanaotakiwa kuchunguzwa kutokana na sakata la
mchanga wa madini, aliyekuwa Waziri wa Nishati
na Madini, William Ngeleja amesema maisha
hayana budi kuendelea.
Ngeleja ameyasema hayo leo Alhamisi, wakati
akichangia mjadala wa bajeti ya Serikali baada
ya Mbunge wa Mbozi (Chadema), Paschal
Haonga kuomba taarifa ya mbunge huyo wa
Sengerema kutajwa kuhusika kulitia Taifa hasara
kutokana na mapato ya madini.
Ingawa Mwenyekiti wa Kikao, Mussa Azzan
Zungu ameikataa taarifa hiyo, lakini Ngeleja
amesema:
"Kutuhumiwa siyo kukutwa na hatia, maisha
yanaendelea."
Baada ya maneno hayo machache aliendelea
kutoa mchango wake.
Ngeleja na baadhi ya mawaziri wa zamani
wametajwa kuhusika kwa namna moja au
nyingine katika sakata la usafirishaji wa mchanga
wa madini na mikataba tata ya madini nchini
inayotajwa kulipotezea Taifa zaidi ya Sh100
trilioni.

Benku kuu( BOT) imepiga marufuku mchezo wa upatu ujulikanao kama  D9 CLUB.soma zaid

Benku kuu( BOT) imepiga marufuku mchezo wa upatu ujulikanao kama D9 CLUB.soma zaid

Malisa GJ
Benki kuu ya Tanzania (BOT) imepiga marufuku
mchezo wa upatu ujulikanao kama D9. Taarifa
iliyotolewa na BOT kwa kushirikiana na Mamlaka
ya Masoko ya mitaji na dhamana (CMSA)
inasema mchezo huo ni haramu na ni kinyume na
sheria ya makosa ya jinai sura ya 16. Hii ni
kusema kuanzia sasa kile kilichoitwa D9
kimekufa rasmi. Mtu yeyote atakayeonekana
kujihusisha na mchezo huo atachululiwa hatua za
kisheria.
Nimekumbuka nilivyoshawishiwa kujiunga kwenye
mchezo huo kwa kigezo cha kupata hela
"chapchap". Sikushawishika kabisa maana najua
principle ya kupata hela ni lazima uitolee jasho.
Katika ulimwengu huu wa "kibepari" hakuna pesa
inayopatikana bila kufanya kazi.
Bahati mbaya kuna watu waliajiingiza kwenye
mchezo huu kwa kushawishiwa na watu
wanaowaamini. Wengine wakajisajili wao na
familia zao. Mtu kajisajili yeye, mke na watoto.
Kila mmoja kalipa dola 2000+, akitegemea
kuvuna dola 170 kila wiki. Leo mchezo huo
unapigwa marufuku halafu alikua hajavuna hata
mara moja. What a mess.!
Ni vizuri tukawa makini na hizi biashara za
mtandaoni. Usije kuinvest pesa yako bila kupata
taarifa sahihi juu ya biashara husika.
Mnakumbuka DECI?? Nayo ilikua hivihivi. Polen.chanzo Malisa GJ

Mwanamke amejikuta hana sehemu yake ya siri baada ya kuiba fedha Guest alipokua anakula uroda na mwanaume asiyemjua mkoani Kagera.soma zaid

Mwanamke amejikuta hana sehemu yake ya siri baada ya kuiba fedha Guest alipokua anakula uroda na mwanaume asiyemjua mkoani Kagera.soma zaid

# SEHEMU ZA SIRI ZAYEYUKA BAADA YA
KUMUIBIA MWANAUME ALIYELALA NAE!
Dada mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa
kile kilichompata, ajikuta hana sehemu zake za
siri (Nyeti Zake) baada ya kulala na mwanaume
msukuma katika nyumba ya wageni ya Super
star hamugembe na kutoweka na pesa za
mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi
wa Misungwi Mkoani Mwanza ambae hufanya
biashara ya Ndizi toka Bukoba kwenda Mwanza.
Baada ya kuondoka na pesa za jamaa, muda wa
masaa kadhaa hadi anapoishi alihisi kubanwa na
haja ndogo ndipo alipoenda chooni kwa lengo la
kukojoa.
Lakini Dada huyu alijikuta katika hali ya
Mshangao mkubwa na mshituko baada ya kuona
hana sehemu zake za siri za kukojolea hali
iliyomfanya aonekane kama mtu aliyechanganyik
iwa na kupiga mayowe ghafla na kupelekea
umati mkubwa wa watu kujaa wakimshangaa
pasipokumuelewa. Ndipo akaeleza mwenyewe
kuwa kachukua pesa za mwanaume aliyekuwa
nae Guest usiku na sasa haoni kitumbua chake.
Baadae Police walifika eneo la tukio na kupata
maelezo hivyo kumchukua Binti huyo hadi mahali
Guest Ilipo.
Bahati Nzuri Walimkuta Msukuma Huyu Akiwa
Bado Yupo Hapo Guest Akiwazia Pesa Zake, Na
Binti Alipomuona Alimkimbilia Na Kupiga Magoti
Huku Akilia Machozi Akimuomba Chonde Chonde
Achukue Pesa Zake Amrudishie Nyeti Zake.
Ndipo Ngosha Huyo Akatoa Kikopo Kidogo
Katika Mfuko Wake Wa Suruali Kilichokuwa Na
Dawa Za Kiasili Akachanganya Na Maji Na
Kumumwagia Mwilini mwake Kisha Akamuambia
Atazame Kama Nyeti Zake Zimerudi.
Binti Bila Kujali Umati Wa Watu Alifunua Sketi
Yake Na Kujipapasa takribani mara tatu akiwa
haamini amini Na Kukuta Imerudi Kama
Ilivyokuwa Mwanzo na kupaza sauti ""Ipoo Ipoo
Imerudiiiii" Binti Alilia Sana Na Kumuomba
Jamaa Amsamehe Sana Na Kuahidi Hatorudia
Tena Mchezo Huo Wa Kuwaibia Wanaume Hasa
Wageni Asiowajuwa.
Jamaa Akamwambia Nishakusamehe Ila Kuwa
Makini Watu Wengine Huwa Hatuibiwi Ovyo
Ovyo.! Kesi Ikaishia Pale Na Watu
Wakatawanyika japo Ngosha Katoa Fundisho.

Roma,Mr.Blue, Darassa na Snura kupiga shoo kali Dar Live Idd mosi.soma zaid

Roma,Mr.Blue, Darassa na Snura kupiga shoo kali Dar Live Idd mosi.soma zaid

Shoo ya Dar Live sasa Naye Meneja na Mratibu wa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, Juma Mbizo alisema baada ya R.O.M.A kufanya yote hayo ya kijamii, mashabiki wake wote waliommis jukwaani watarajie shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Idd Mosi. “Shoo itatambulika kama Nishushe Dar Live ambapo Roma akiwa na wasanii kibao wakiongozwa na Mr. Blue wataliamsha dude ndani ya Dar Live na kugonga nyimbo zake zote zinazobamba. “Nikukumbushe tu mara ya mwisho kwa R.O.M.A kupiga shoo ya kihistoria ilikuwa mwaka jana katika Mkesha wa Mwaka Mpya ambapo alipanda jukwaa moja na mkali, Darassa na kuzoa kijiji. sasa safari hii jibu utatoa mwenyewe akishuka jukwaani,” alisema Mbizo. WENGINE SASA Mbizo aliongeza listi kuwa mbali na Mr.Blue na R.O.M.A mashabiki wategemee jukwaa kufunikwa na wakali wa Hip Hop kama Darassa na Stamina huku Snura akiwarushia vyura jukwaani. Shoo ya watoto nayo ndani Mbizo aliongeza kuwa, mbali na shoo hizo pia pazia la burudani litafunguliwa Sikukuu ya Idd Mosi mapema kuanzia saa 2:00 asubuhi kwa kundi la sarakasi lisilo na mpinzani Bongo, Wakali Dancers pamoja na wakali wa nyimbo za Asili, Makhirikhiri kutoka Tanzania ambao wataliamsha kwa kutoa burudani kwa watoto. “Kutakuwa na michezo mingi ya watoto kama vile kubembea, kuteleza, kuogelea, kucheza ndani ya ndege na mingine mingi. “Katika kunogesha burudani kwa watoto, kwa mara ya kwanza mkali wa vichekesho anayebamba katika Kipindi cha Ze Comedy, Bambo atakuwepo kuvunja mbavu za watoto wote watakaojitokeza huku akigawa zawadi ndogondogo kwa watakaotoka chicha. Zanzibar Stars kuibuka Baada ya kupotea kwa muda, kundi kongwe la Muziki wa Mwambao, Zanzibar Stars linatarajiwa kuibuka kwa mara ya kwanza ndani ya Dar Live likiwa na vichwa hatari kama Bi. Mwanahawa, Sabaha Mchacho, Jokha Kassim, Mosi Suleiman, Ally Jay, Zubeda Mlamali na wengine kibao. Mtonyo sasa! Mbizo alimaliza kwa kutaja kiingilio kwa siku hiyo kuwa, burudani kwa wakubwa itakayoanza saa 2:OO usiku itakwenda kwa shilingi 7,000 huku watoto ikiwa shilingi 3,000 tu!

Wednesday, June 14, 2017
no image

Mtoto afariki ndani ya Gari baada ya Mama yake kwenda kula raha na mpenzi wake.soma zaid

MTOTO wa miaka nane alifariki jana Jumapili huko Bumula, katika Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, wakati mama yake alipomwacha katika gari lililofungwa. Mwanamke huyo na mpenzi wake wanasemekana walikwenda katika chumba cha nyumba ya wageni karibu na soko la Mateka na kumwacha mwanawe ndani ya gari likiwa limezimwa na kufungwa kabisa madirisha. Mkuu wa Polisi wa Mateka Julius Barasa alisema mwanamke huyo alitambuliwa kama Christine Nasimivu. “Walimwachia chupa tatu za soda lakini mtoto alifariki kutokana na kukosa hewa safi,” alisema afisa huyo wa polisi. Polisi waliwaokoa wawili hao kutoka kwa wananchi wenye hasira ambao walikuwa wanataka kuwanyonga. Wawili hao walikamatwa na kufikishwa katika kituo cha polisi cha Bumula wakati mwili wa mtoto ulipelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya rufaa ya Bungoma. Joseph Lupao, afisa mwangalizi wa watoto, aliwashutumu wawili hao kwa kumwacha mtoto peke yake ndani ya gari. “Hii ni ajabu na jambo bay asana – mtoto amefariki kutokana na uzembe. Wanapaswa kushitakiwa mahakamani,” alisema. Kulingana na tovuti ya Kidsandcars.com, watoto ambao huachwa ndani ya magari hufariki kutokana na joto la gari. Tovuti hiyo inaeleza kwamba ndani ya gari joto huongezeka kwa haraka linapokuwa limefungwa, na linaweza kufika hata nyuzi joto 125 ndani ya dakika chache. Joto hilo linasababisha joto la mwili wa mtoto kupanda na kufika zaidi ya nyuzi joto 40, na kusababisha kifo. Tovuti hiyo inasema kwamba mwili wa mtoto hupata joto kwa haraka mara tatu hadi tano zaidi ya ule wa mtu mzima.
Rais Magufuli akutana na Boss wa ACACIA leo Ikulu  kampuni imekubali kulipa deni lote wanalodaiwa na serikal.soma zaid

Rais Magufuli akutana na Boss wa ACACIA leo Ikulu kampuni imekubali kulipa deni lote wanalodaiwa na serikal.soma zaid

Rais John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Kampuini Hiyo imemuahidi Rais Magufuli kulipa Deni lote wanalodaiwa na Tanzania, Katika mkutano huo, uliohudhuriwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Paramagamba Kabudi na Balozi wa Canada hapa nchini, Ian Myles umemalizika kwa mafanikio makubwa ambapo pande zote zimekubaliana kukaa meza moja kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali katika sekta ya madini.

Bunge lapigilia msumari dhidi ya hawa watu.soma zaid

Bunge lapigilia msumari dhidi ya hawa watu.soma zaid

Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua
kali dhidi ya wote watakaothibitika
kuhusika kuliingizia Taifa hasara na
kuwakosesha Watanzania fursa ya
kufaidika na rasilimali za madini.
Hoja hiyo imetolewa leo Jumatano
bungeni baada ya kamati iliyoundwa jana
na Spika Job Ndugai kupata maoni ya
namna Bunge linavyoweza kuunga mkono
juhudi binafsi zinazochukuliwa na Rais
John Magufuli kukabiliana na udanganyifu
unaofanywa kwenye sekta hiyo.
Kamati hiyo iliyoongozwa na Mbunge wa
Newala Mjini, George Mkuchika baada ya
kukamilisha taratibu zote, imetoa
maazimio matatu ambayo yamepitishwa
na Bunge.
"Bunge linamuunga mkono Rais John
Magufuli na lipo tayari kutoa ushirikiano
wa dhati kadri itakavyohitajika kuhakikisha
juhudi hizi hazipotei bure na sekta ya
madini inachangia maendeleo ya
wananchi na Taifa kwa ujumla," amesema
Mkuchika.
Kukubaliana na kinachofanywa na Rais
Magufuli maazimio matatu yametolewa
ambayo ni kumpongeza na kuunga mkono
kwa hatua anazochukua, kumhakikishia
ushirikiano wakati wowote atakapohitaji
na kushauri kuchukuliwa kwa hatua kali
za kisheria kwa watakaobainika kushiriki
kulitia taifa hasara kutokana na
kuidhinisha mikataba mibovu na wizi
uliofanywa.

Achoma moto nyumba baada ya mke wake kukataa kumfungulia mlango.soma zaid

Achoma moto nyumba baada ya mke wake kukataa kumfungulia mlango.soma zaid


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro
(ACP), Koka Moita, alisema mwenyekiti huyo
aliamua kuchukua mafuta ya petroli yaliyokuwa
kwenye pikipiki yake na kuichoma nyumba hiyo
kwa hasira kwa kile alichodai mkewe alionyesha
dharau.
“Kwa bahati nzuri hakuna vifo wala madhara kwa
binadamu yaliyotokea, lakini huyu Mwenyekiti
baada ya kufanya tukio hilo alifanikiwa kutoroka,
Jeshi la Polisi lilifanikiwa kumkamata katika Kijiji
cha Uswaa nje kidogo ya Kijiji cha Sawe akiwa
amejificha,” alisema Moita.
Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni ulevi
uliopindukia wa mtuhumiwa na wakati
anatekeleza kusudio lake alikuwa amelewa na
kumlalamikia mke wake kuwa alichelewa
kumfungulia mlango.
Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 6:00 usiku
katika Kijiji cha Sawe, Kata ya Masama
Mashariki, Tarafa ya Masama, Wilaya ya Hai.
Wakati huo huo, Shaban Juma, amefariki dunia
jana, baada ya kuangukiwa na mtungi wa zege
katika jengo la ghorofa 11 linalojengwa na
kumilikiwa na mfanyabiashara, Fredrick Shoo.
Mtungi huo ulianguka na kusababisha kifo, baada
waya ngumu inayotumika kupandishia mtungi huo
juu ya ghorofa kukatika katika ghorofa ya nane.
Jengo hilo refu kuliko yote katika mji wa Moshi,
linajengwa na Kampuni ya Wachina katika
Barabara ya Market Road.

ACACIA waeleza usajili wao.soma zaid

ACACIA waeleza usajili wao.soma zaid

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Acacia, imesema kuwa inafanya kazi nchini kwa misingi ya sheria na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CMSA) inatambua uwepo wake. Kauli hiyo imekuja baada ya juzi taarifa ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi wa mchanga wa madini katika makontena yalizuiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi, kubainisha kuwa kampuni hiyo haina kibali na inafanya kazi kinyume na sheria. Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo jana pia imesema kuwa Acacia itafanya mkutano na wanahisa wake kesho kutoa ufafanuzi zaidi juu ya sakata zima. Kampuni hiyo ilieleza kuwa migodi yake ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inaendeshwa kisheria. “Acacia inapenda kuthibitisha kwamba inaendelea kufanya kazi katika migodi yake mitatu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara. “Migodi hii yote inamilikiwa na kuendeshwa na makampuni ambayo yamesajiliwa Tanzania kisheria; Bulyanhulu Gold Mine Limited, Pangea Minerals Limited na North Mara Gold Mine Limited ambayo yana leseni maalumu kwa kila mgodi,” inasomeka sehemu ya taarifa katika tovuti ya Acacia ambayo gazeti hili iliiona jana. Taarifa hiyo iliendelea kueleza: “Kampuni hizi zinamilikiwa na Acacia ambayo imesajiliwa nchini Uingereza ingawa umiliki huu si wa moja kwa moja (indirectly owned). “Muundo huu ni wa uwazi, upo kisheria na huwekwa wazi katika taarifa zetu za hesabu za mwaka ambazo hukaguliwa kwa mujibu wa taratibu za kimataifa.” Taarifa hiyo iliendelea kufafanua kwamba utaratibu huo wa umiliki uliwekwa wazi kwa CMA wakati Acacia ikijioredhesha katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) mwaka 2011. “Muundo huu ni sehemu ya taarifa ambayo ilipitishwa na CMSA kwa ajili ya kujiorodhesha DSE. Tangu kujisajili DSE kilichobadilishwa ni jina la Acacia kutoka African Barrick Gold Plc kuwa Acacia Mining Plc,” inasema taarifa hiyo. Katika hatua nyingine, Acacia wametangaza kufanya mkutano na wanahisa wake kwa mtandao kesho kutoa ufafanuzi zaidi juu ya sakata zima. Walipofuatwa DSE kutoa maelezo ni kwa vipi kampuni ambayo haina usajili kuweza kujiorodhesha na kuuza hisa, walisema wao si wasemaji kwa kuwa mchakato wa kujiorodhesha huongozwa na kusimamiwa na CMSA na hivyo kumshauri mwandishi awasiliane nao. Mwandishi alipowasiliana na Ofisa Habari wa CMSA, Charles Shirima, alisema mtu aliyekuwa akishughulikia suala hilo alikuwa safarini Dodoma na kumtaka mwandishi awasiliane naye leo.

Friday, June 2, 2017
Kada CHADEMA ameachiwa kwa dhamana leo baada kupandiswa mahakamani.soma zaid

Kada CHADEMA ameachiwa kwa dhamana leo baada kupandiswa mahakamani.soma zaid

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yericko
Nyerere amepandishwa kizimbani katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
akikabiliwa na mashtaka matano ya kutoa
taarifa za upotoshaji kupitia mtandao wa
Facebook.
Kwa mujibu wa kesi hiyo namba 184,
2017, Wakili wa Serikali, Elia Athanas
alidai kwa Hakimu Mkazi Mkuu,Wilbard
Mashauri kuwa mshtakiwa huyo alifanya
makosa hayo kinyume na kifungu cha 16
cha Sheria ya Mtandao Namba 14 ya 2015
Ameachiwa kwa dhamana baada ya
kukamilisha masharti ya kuwa na
mdhamini mmoja ambaye amesaini bondi
ya Sh 10milioni.
Kesi imeahirishwa Juni 5, 2017
kusomewa maelezo ya awali (PH)
Chanzo: Mwananchi

Back To Top